Ubakaji dhidi ya wanafunzi wazidi kushamiri


New Force 2015

New Force 2015

Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
63
Likes
2
Points
15
New Force 2015

New Force 2015

Member
Joined Oct 25, 2013
63 2 15
Tukiwa bado tunamlalamikia Pro. Kapuya kutokukamatwa kwa tuhuma za Ubakaji na kutishia kuua, Igunga Mwalimu amembaka Mwanafunzi na kumpa mimba, kesi ilifunguliwa katika Kituo cha Polisi Igunga [FONT=&quot] jalada RB IG/1430/2013 lakini Mkuu wa Kituo amemtorosha jamaa na kuambulia kitita cha Milioni 3.5 na kumruhusu jamaa asepe. Tutabakwa sana, tutatishiwa sana, wabakaji wataendelea kujisifu na Polisi wataendelea kuwanusuru. Nalia akina Mama mko wapi? Tamwa, UWT, BAWACHA, TGNP, LHRC, msiogope vitisho saidini hali ni mbaya![/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,251,978
Members 481,948
Posts 29,792,094