Bulembo atoa amri halali kusaidia kuangamiza CHADEMA

KARAMAG

Member
Mar 8, 2013
63
0
Hali ya kifedha ndani ya Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi ni tete, Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Abdala Bulembo ameagiza kila Mwanafunzi anayesoma katika shule zinazomilikiwa na jumuiya hiyo achangie shilingi laki moja akishindwa ajiondoe, lengo la pesa ni kusaidia mfuko wa kuishughulikia Chadema na kuwafadhili wanaosaidia kuisambaratisha. Mkoani Kilimanjaro leo kulikuwa na Kikao cha mkoa kuimairisha Jumuiya na chama Mkoa huo. Baada ya Wanachama kukosa pesa ya chakula hali ilikuwa hivi, angalia Picha
 
Attachments

 • chama2 (1).JPG
  File size
  1.6 MB
  Views
  1,041
 • chama2 (2).JPG
  File size
  1.8 MB
  Views
  2,420

mihadarati

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
269
195
Dah kweli inasimitisha sana zile shule walizojenga watanzania hatimaye CCM kujimilikisha na kuita za jumuiya ya wazazi wenye matumbo wamekula na nyingi zinakaribia kufa,huyo hapo juu si mkuu wa shule ya Sekondari uchira bwana Mungure nafikiri hapo anatafakar jinsi ya kujieleza kweny hicho kikao.

Wakuu wa shule hizo wanamlalamikia bwana bulembo na viongozi wengine ambao wanatoka makao makuu kuchukua kwenye mafungu kwenye shule hizo za kufanya starehe wanapokauwa mkoani hapa na kuziacha shule hizo hoi kiuchumi na nyingine ziko mbioni kufa ikiwemo ya Kibo secondari,Namvua ,kahe,Mangia na Wari sekondari.
 
Oct 25, 2013
63
95
Nilishasema tangu zamani, hili ni janga, tutaendelea kuchangia michango ya sekondari na michango ya kusaidia kusambaratisha chadema tutakuwa masikini. Tunakoelekea sio vizuri akina mama tubadilike
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
ukisikia nguvu wa soko ndiyo hiyo kwa wale waliosoma economics wanaelewa sana hiii free market, people will always vote with their monies. you cook a louse food the forces of free market will wipe you out. they have been providing below standard education for along time now the forces of market is catching up with them. shule za kata should have been in the same on the same path but thanks to tax payers subsidy.
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Nina mpango wa kuchukua Kibo sekondari, wanakodisha kwa shilingi ngapi kwa mwaka ?
 
SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,609
2,000
Nyie endeleeni kuchangisha fedha kwa nia yenu ovu. hivi mnajua kwamba hata serikali ya JK haina fedha?
 
Pachama

Senior Member
May 24, 2013
149
170
huyu bulembo aliwahi kuwa diwani musoma mjini kata ya nyasho akakomba pesa za vijana akatelekeza kata na wapiga kura wake
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
Huu ushauri Bulembo kapewa na mshauri wake mkuu na mpambe wake wa karibu huyu hapa
ImageUploadedByJamiiForums1387920031.220197.jpg
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,069
2,000
huyu bulembo aliwahi kuwa diwani musoma mjini kata ya nyasho akakomba pesa za vijana akatelekeza kata na wapiga kura wake

Kwa kuongeza:
Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!!

kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa ana banda la kuuza mitumba pale Musoma stand
 
wabara

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,510
0
Kwa kuongeza:
Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!!

kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa ana banda la kuuza mitumba pale Musoma stand

Mbona mimi namfahamu vizuri, kwa maana ni rafiki yangu tangu tupo wadogo na pale Nyasho nyumba zetu zilikuwa zikitizamana,
Kwetu ni pale kwa Mzee Kisunda/Mzanaki wa Buhemba,

Kuuza mitumba kunamzuia mtu kuingia katika SIASA ama ni chuki tu binafsi?
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,441
2,000
Dah kweli inasimitisha sana zile shule walizojenga watanzania hatimaye CCM kujimilikisha na kuita za jumuiya ya wazazi wenye matumbo wamekula na nyingi zinakaribia kufa,huyo hapo juu si mkuu wa shule ya Sekondari uchira bwana Mungure nafikiri hapo anatafakar jinsi ya kujieleza kweny hicho kikao.

Wakuu wa shule hizo wanamlalamikia bwana bulembo na viongozi wengine ambao wanatoka makao makuu kuchukua kwenye mafungu kwenye shule hizo za kufanya starehe wanapokauwa mkoani hapa na kuziacha shule hizo hoi kiuchumi na nyingine ziko mbioni kufa ikiwemo ya Kibo secondari,Namvua ,kahe,Mangia na Wari sekondari.

Hivi huko hakuna wabunge? Madiwani? Na wenyeviti? Kwanini wasihamasishe kujenga shule nyingine za kwao za wanachi za kata na kuachana na hizo za MACCM japo nazenyewe ni wameiba nguvu za wananchi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom