Wanaweka bayana kuwa Wanawake Wanaweza Kauli ya Migiro, wanajipa matumaini kuwahata 2015 Rais anaweza kuwa Mwanamke, Samia Suluhu anasema wanawake wa Tanzania wana uwezo mkubwa. Wanawake wa CCM kwa manufaa ya Watanzania wafanye kweli kusaidia mwanamke mwenzao Grace Mvanda Tendega,