Recent content by neva

  1. N

    UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais

    thubutuuuuuuunataka wanyak...a wote wahamie Dar???nani kasema.em mwambie afute mawazo hayo kabisa kama wee ndo meneja wake jiandaeni kisaikolojia tu.
  2. N

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    ha ha ha duuh sijui hata kama umeiosoma kabla hujaposti hii comment yako!
  3. N

    Natafuta Kazi ughaibuni

    hehe em chekiana na LEmutuz,NO OFFENSE! Pia kuna linki watu wameweka za kutafuta kazi nje jaribu kusearch ndugu.
  4. N

    BRV zimekataa vidole vyenye sugu, aibu kwa mwanamke kuwa na sugu

    ndugu ulishawahi fika vijijini kwa wakulima wewe...huko kuna hadi wanawake wanakata mkaa unategemea huo usoft wautoe wapi,em tafuta ata kakampuni kadogo kanakofanya research ujaribu kwenda vijijini uone hali halisi
  5. N

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    asante sana kwa kushea nasi,Mungu akuzidishie.
  6. N

    Huyu mmiliki wa shule ya Kilimani Dar achunguzwe

    contradiction in here! yani unasema vilaza halafu wanafaulisha alaah. uwezo wa kutumia mifano,maswali na the like kumbe wanao. hakuna mtu anayetaka kukaa sehemu isiyo na maslahi
  7. N

    She's Sexy And She Knows It!

    mbutananga
  8. N

    Kete ya CCM urais 2015 naiona kwa Wasira

    huwa sifuatilii mambo ya siasa ila hapa umenichekesha sana,,,
  9. N

    Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

    nilikua nakuonaga u mtata kweli... ila kwa hili umeonesha uelewa wako.. ni kweli mkiwa na kipato wote mnasaidiana ndani.. tatizo wanaume wengi (sio wote-wengine kwakweli Mungu amewajalia hekima) washajenga mtazamo hasi juu wa wanawake wasomi... hata tujitutumue vipi kunyenyekea ni bure tu!
  10. N

    Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

    wala sio tabu mpenzi, ni kujitambua tu pole kama wewe uliikimbia kidogo
  11. N

    Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

    ndio maana nikasema single mother by choice mkuu.
  12. N

    Naomba kufahamu kuhusu Nokia Lumia

    ungetueleza sababu zipi zilizokufanya usiipende labda ungesaidia kueleweshana zaidi.
  13. N

    Naomba kufahamu kuhusu Nokia Lumia

    mimi nishawahi tumia lumia, ina apps zote smartphones na kuzidi, sina uzoefu na androids phones,,,pia katika store kuna apps nyiiingi ushindwe mwenyewe tu. kiufupi sijawahi juta kutumia lumia kwani hata nisipokua na laptop kazi zangu nafanyia kwa hii simu.
  14. N

    Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

    heheheee hili ni swali muhimu mno, akikujibu sahihi nishtue, unajua wengine wepesi wa keyboard tu lakini in reality, utajuta hata ni kwanini ulipoteza muda ku-argue nae, yan hata guts za kumwambia mtu wa form four dada habari yako hana!
Back
Top Bottom