Recent content by Neutral catalyst

  1. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Mananasi ya kukaanga

    Umenikumbusha mbali hawa ukiwachoma ukapata na kachumbari ya upupu na juisi ya haradali au supu ya kwato za ng’ombe duh raha ilioje
  2. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Mananasi ya kukaanga

    We ukishushia na juicy ya mafuta ya taa unaeza kula hata mishkaki ya sisimizi 40
  3. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa mangi moja hvi chocho lakini in three hours... Ushajifunza kizungu rasi simba akasome. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Jipatie Hisense TVs

    Nahitaj smart 32 inches but nipo mwanzaa
  5. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ____________________________
  6. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Galaxy a50 used 4days natafta iphone 7 clean tuvuje na maongez kidgo yatakuepo kulingana na condition ya iphone
  7. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Eliya George Mduma
  8. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la watu kutoka Burundi

    Bamutu kutoka burundi....😂😂
  9. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania A tree house

    zinapendeza sana wengine wanajenga za kuish kabisa nangaliaga kipind flani hv discovery channel kinaitwa tree house masters jamaa wanajenga balaa.
  10. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona casino ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro

    Wazee hii michezo isikieni tu nilipigwaga 800000 seacliff nilisweat balaa hata jina langu ungeniuliza that day ningeshindwa kulisema...nilienda na pickup ya home but huwez amin nilipanda bajaji gari nkaacha..nilikaa ndani siku tatu sijatoa mguu njee nakunywa tu piriton maana kila nikiamka...
  11. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

    Mkuu kuna haya makampuni yameibuka kipindi hiki mfanoTALA, BRANCH yanakopesha watu hela kwa njia ya mtandao...je ikitokea mtu hajalipa yana mandate gani kumuwajibisha mdaiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu ndio anarudi duniani sasa hivi wewe atakukuta unafanya nini?

    Mimi atanikuta napiga castle lite Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saluni

    nitafute pm
  14. Neutral catalyst

    JamiiForums Tanzania Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    landrover discovery 4 2017
Back
Top Bottom