Jukwaa la watu kutoka Burundi

Burundi kuna ubaguzi sana, tena ule wa chini chini. Hasa kati ya Hutu na Tusi.

Sintosahau siku nimeingia Burundi kwa mara ya pili 2011, kusaka maisha baada ya kamaliza A'level.

Rafiki tuliyeenda naye akanambia twende kwa ndugu zetu huku wapo ndugu zetu, so usiende lodge. Pia usalama si mzuri sana.
Nikasepa naye hadi kwa hao ndugu.

Tulifika jioni ya giza giza, dah! Wale ndugu zake walivyoniona tu wakaanza kumuuliza, mbona umekuja na huyu mtusi? Tangu lini?

Jamaaa ikabidi aanze kuwaeleza vizuri kwa utaratibu. Ndipo wakaelewa somo.
Aunt yake akasema pole sana kijana , tumeona wewe ni mrefu mrefu kiasi. Tukajua ni mtusi. Kuanzia muda huo nikawa naenda na jamaa bila tatizo. Nikaoneshwa kwa ndugu zake wengine.

Yaani umbo langu lilitaka kuniponza wakijua ni mtusi.

Kuna siku nilienda tukakuta Miji iko kimya, wakasema Wasomali wameingia nchini; siku hiyo hiyo nilikuja kulala mpakani.
Asubuhi yake nilirudi Tz.

Ubaguzi upo sana Burundi na jirani yake Rwanda ni balaa tupu
zilipendwa hizo sio sasa boss!!saaa ivi Nkurunziza kawanyoosha woote full heshima!
 
[

POLE SANA MKUU
 
Back
Top Bottom