Uko sawa, bati kuna maneno yanaonyesha uko dunia ya nyuma sanaaaaaaaaaaaaaaa.[Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha?], nyie si ndio mnaodai gender equality?. pls lets continue, na yatakuja zaidi ya hayo ujiandae tu dada yangu.
SIKILIZA DADA MSEMO HUU...
kaka, hao sisi em, wana jua wanachokifanya ,wakijua kwamba si sahihi, na hakuna atakaye kua na uwezo wa kuwa wajibsha. hii nchi ni ya ccm, au we ujui? ni aibu wanayoipata ndio msaaada kwetu, wangeweza kufanya zaidi ya hvyo.
utakuta wakati mahitaji yake yote anayatoa kwako,anakua mpole mkarim na pia mwenye busara.lakini akishapata chanzo chochote cha kumpatia fedha anabadirika.au hiyo ni dalili kua hakua anakupenda? lakini mbona asilimia kubwa about 98%, yani almost wote wako hivyo.naomba mnisaidie wana JF kwenye...
Watu tunajdanganya, mwanamke kutawalwa na mwanaume ni katiba ambayo mungu mwenyewe alitunga na akaptisha mwenyewe,na kama mwanadamu ametokana na mkono wa mungu basi utakua ukifata katiba hiyo,kama siyo kwa hiyari bas ni kwa lazima.mana kuna mazingira mwanamke mwenyewe anajitoa na kumpisha...
e bwana kama upo connected na net just right click kwenye aikon ya my computer>manage>device manager>right click each driver and select update driver,if u cant just contact me.through 0716 31 77 21
nenda kwenye start >run>(typpe)dxdiag then utaona specifications za computer yako,sasa wewe nitumie system model number thn nitakupatia jibu lako.more datail contact me through ma e mail adress (cosmas69@yahoo.com)
kama umeshindwa mpaka sasa,mi nina software inaitwa Registry Mechanic tool ambayo inaweza kufanya hiyo kazi,kama hauna just contact me through 0716 31 77 21 if u want.
ni sawa lakini kama ndo mbuyu wako ufanyeje,mana mapenzi hayaangalii.ila kama ni mtu ambaye unamtamani tu utimize haja zako mi nasema utajiaribia kazi.na mkuu pale juu atakua yuko sawa
bonyeza kwenye start,click run,in run toolbar typ the "msconfig"ukishafika hapo bonyeza"BOOT.INI" then reduce the time out to the parameter u want.it can help
dawa ni kama alivyo jamaa yangu hapo juu,dawa ni muda lakini pia nataka kuongezea kitu:pia tafuta msicahana mwingine haraka ambaye mda mwingiutakua naye inaweza kukusaiia kupunguzza mawazo.kama utapata huyo mtu na akaweza kukubali vitu unavyompa,automatically utaona no need kuendelea kusumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.