maajabu ya wanawake katika mapenzi

jackson27

New Member
Oct 2, 2009
4
0
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu mapenzi hasa kwa hawa dada zetu.nimefikia mahali nimeshindwa kuelelewa kbs.ukiongea nao watasema wanataka mwanaume mpole,msikivu,atayempenda na kumjali nn kadhalika.ukweli ni kuwa wanaume wa namna hii ndo wanaosumbuka kuwapata.wale wanaowa handle hash,kuwapiga,wanywaji ndo wanawapata kirahisi hasa cute girls!!.

pili:mtu anapooneshwa kupendwa yeye anashusha upendo au kuupoteza kabisaaa,akianza kuoneshwa dallili za kutopendwa tena yeye ndo anaanza kupenda while its too late!.

tatu:msichana unapomweleza ukweli humpati,ukimdanganya hata katika mazingira anayohisi anadanganywa utampata!.je wanawake ni wa kudanganywa tuu?.

nne:ukimega mke wa mtu na wako lazima atamegwaa!!.kuna siri gani hapa?

tano:Ukimwacha mtu hali anakupenda na wewe utaachwa!!!!!.

sita:ukimwaproach msichana huku umedhamiria kuwa naye humpati,utampata unayemwaproach ktk masikhara(ukiwa ume-relux).

saba:wasichana warembo huolewa na wanaume wasio watarajia na katika umri ulokwenda sana!!.

maoni wadau wa JF.
 
...tatizo, utavyowashangaa nao wanazidi kukushangaa na kukushangaza. Lilobakia shangaa kimya kimya tu.
 
hii research yako mkuu sina uhakiaka nayo, lakini inawezekana baadhi yakawa na ukweli ndani yake
 
mwanangu formular kamili ya hawa watu hamna, we nenda nao hivyo hivyo.we ukshamjua anataka nini,mpe.
 
there is a book i read a while ago, by James Hadley Chase, the title was "u will never know about women"

hivyo usijisumbue, katika hayo uliyosema the reverse is also true, sometimes!
 
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu mapenzi hasa kwa hawa dada zetu.nimefikia mahali nimeshindwa kuelelewa kbs.ukiongea nao watasema wanataka mwanaume mpole,msikivu,atayempenda na kumjali nn kadhalika.ukweli ni kuwa wanaume wa namna hii ndo wanaosumbuka kuwapata.wale wanaowa handle hash,kuwapiga,wanywaji ndo wanawapata kirahisi hasa cute girls!!.

pili:mtu anapooneshwa kupendwa yeye anashusha upendo au kuupoteza kabisaaa,akianza kuoneshwa dallili za kutopendwa tena yeye ndo anaanza kupenda while its too late!.

tatu:msichana unapomweleza ukweli humpati,ukimdanganya hata katika mazingira anayohisi anadanganywa utampata!.je wanawake ni wa kudanganywa tuu?.

nne:ukimega mke wa mtu na wako lazima atamegwaa!!.kuna siri gani hapa?

tano:Ukimwacha mtu hali anakupenda na wewe utaachwa!!!!!.

sita:ukimwaproach msichana huku umedhamiria kuwa naye humpati,utampata unayemwaproach ktk masikhara(ukiwa ume-relux).

saba:wasichana warembo huolewa na wanaume wasio watarajia na katika umri ulokwenda sana!!.

maoni wadau wa JF.

kutokumfahamu mwanamke ndio kumfahamu kwenyewe.
 
Gross overgeneralization that does not even trouble itself with explaining the methodology and verification used.
 
Wana mi-character zaidi ya 200,ukiona hili utaliona lile ukiliona lile mara kinaibuka kingine.Wanabadilika kulingana na jinsi unavyowaingia.Ni wagumu sana kuwaelewa na utamuelewa yule ambaye hapendi kusumbuka bila sababu za msingi.
 
mwanangu formular kamili ya hawa watu hamna, we nenda nao hivyo hivyo.we ukshamjua anataka nini,mpe.

mkuu nestory

wengine sio wa kuwapa kila kitu'nakumbuka nilikuwa na gfriend wangu alikuwa na mazoe ya kunifundisha yaani mnakaa kuongelea mapenzi...kumbe anayapata kwa wenzake...mmmhh siku ya siku akuongelea alicofanya unajua alichotaka kufanya....wakati ukifanya mapenzi nikasikia mikono inapapaswa mara inakaribia kushuka kuzimu mmmh;akili ikaakaa sawa nikauliza kulikoni anasema tulia mpenzi mmh hamad nakujasikia vidole vinataka kupitishwa kwenye mto canal we na mchezo uliisha hapo hapo siku d tena...na kukimbia kabisa...anyway si wote unawapa vyote vingine vya kuchuja
 
mkuu nestory

wengine sio wa kuwapa kila kitu'nakumbuka nilikuwa na gfriend wangu alikuwa na mazoe ya kunifundisha yaani mnakaa kuongelea mapenzi...kumbe anayapata kwa wenzake...mmmhh siku ya siku akuongelea alicofanya unajua alichotaka kufanya....wakati ukifanya mapenzi nikasikia mikono inapapaswa mara inakaribia kushuka kuzimu mmmh;akili ikaakaa sawa nikauliza kulikoni anasema tulia mpenzi mmh hamad nakujasikia vidole vinataka kupitishwa kwenye mto canal we na mchezo uliisha hapo hapo siku d tena...na kukimbia kabisa...anyway si wote unawapa vyote vingine vya kuchuja[/QUO

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aha ha ha aha ha aha ha aha ha ah aha aha aha aha ha aha aha aha ah

No comment
 
Lakini kweli yale majamaa ambayo yako rough rough na yanawa mistreat wanawake ndio huwa yana wasichana wazuriii!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom