Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Habari wakuu, naingia tena jamvini kwani nilipotea kwa muda kwani huyu provider wangu some times analeta kasheshe. Swali langu sijui kama kichwa cha habari hapo juu nimekiandika sawa mtanirekebisha ok. Mimi kwenye Laptop yangu LG HDD 110, Ram 1GB natumia No.1. Opera 10.01 sasa nimeweka new yake opera 10.10, No.2.Natumia Mozilla Firefox na No. 3. Internet Explorer Je hizi tatu nikitumia kwenye Computer yangu kuna madhara? Kwani nimejaribu Ku install hii Opera New Version 10.10 computer yangu ime go slowly sasa sijui nifanyeje na mimi napenda kutumia Mozilla na Opera sasa naomba ushauri wakuu wangu asante najua nitapata majibu mazuri najua lazima utulize akili na unipe jibu murua au kuna Browser nyingine nzuri zaidi?