Network driver for hp laptop

ndekia1

Member
May 5, 2008
31
5
Hellow wana jamii

Polen na majukumu

Nina Laptop HP Pavilion dv2000 but ukienda kwenye system Infomation imeandikwa HP Pavilion dv2700 na kwenye iliyobandikwa karibu na sehemu ya mouse ni HP Pavilion dv2988se Special Edition Notebook PC.

Sasa Nimejaribu kudown driver aina tatu lakini niki install hazifanyi kazi
Naomba msaada wenu kama kuna mtu ameshakuta na tatizo hili
 
Tafuta Service Tag kwenye laptop, unaitataka hiyo namba 1.
c01931836.gif

Ikishindikana hiyo, nenda kwenye Auto Detect:
http://welcome.hp.com/country/us/en/support.html

Inabidi utumie Internet Explorer na Uinstall ActiveX itakapokuomba.
 
e bwana kama upo connected na net just right click kwenye aikon ya my computer>manage>device manager>right click each driver and select update driver,if u cant just contact me.through 0716 31 77 21
 
Hellow wana jamii

Polen na majukumu

Nina Laptop HP Pavilion dv2000 but ukienda kwenye system Infomation imeandikwa HP Pavilion dv2700 na kwenye iliyobandikwa karibu na sehemu ya mouse ni HP Pavilion dv2988se Special Edition Notebook PC.

Sasa Nimejaribu kudown driver aina tatu lakini niki install hazifanyi kazi
Naomba msaada wenu kama kuna mtu ameshakuta na tatizo hili
mmmh sijui sina msaada lakini mbona specification zimebandikwa tofauti kama ulivyosema?angalia asije akawa mchina tena maana hawa jamaa wapo kila mahali,ni mawazo tu.
 
Back
Top Bottom