kwasasa hivi hata tz ipo ktk kapu la ubaguzi tena ubaguzi mbaya sana.kazi zinatolewa kwa ubaguzi shule watoto wetu wanasoma kwa matabaka vyeo watu wanapata kwa matabaka na hata kuangalia vyama.zamani tulikua tunaishi km ndugu siku hizi watz tunanyosheana vidole huyu dini gani huyu kabila...
mleta mada inaonekana huna kazi ya kufanya nenda shamba kalime.habari ya kufa mungu ndo anajua elewa kufa nawe lzm utakufa tu.uliona gari zimebeba maiti kwakua wachaga ni tamaduni yao kupeleka kuzika kwao.
mh makanisa makanisa..kizazi hiki kinataka maajabu tu hakina haja na imani .imani ya sasa ni nipe nikupe watu wanaenda kanisani ili wapate pesa magari kazi nzuri nyumba vyeo mke mzuri .na wachungaji wamegundua udhaifu wetu wanahubiri mali wanahubiri pesa nasi tumeingia ktk mtego huo mn tumekosa...
mimi sioni kosa la clouds khs kuonyesha kipindi kile ukweli nawapongeza kwa kuzungumzia tatizo ambalo lipo ktk jamii yt .jamani ili kuliondoa tatizo ni vyema kulijadili ili kujua athari zake je watz mnapenda tatizo hili lijadliwe lini ?inashangaza kuona watu hawapendi kujadili mada hii lkn...
hata nyerere alioanza nao ktk harakati za kudai uhuru wengi walimgeuka wengine walimsaliti wengine waliacha siasa.sio suala la ajabu sana kutokea hayo ht ccm yapo sana aliondoka zitto slaa pia mbona chama kipo.chama si mtu chama ni taasisi
mnaangalia majina kutokana na dini kwani wanaenda kuhiji maka jamani hapo kinachoaangaliwa ni uwezo na cv ya mtu.kwahiyo ht km mtu hujasoma waangalie uislamu wako mh
wanawake ndo zao kuhama hama madhehebu .kwakeli wanawake ni mtaji kwa madhehebu ya sasa.imani ya mwanamke ukiiona kwa nje uasema hakika huyu amekomaa kiimani kumbe kwa ndani hakina kitu.
mh si vyema mtu ukikosa mazao kwa kutoweka pembejeo ukasingizia ardhi ni vyema kujiuliza kwanini umekosa mazao ili msimu ujao usirudie.waislamu mbaya wao yupo ndani yao wenyewe hivyo km mambo yn hayaendi vzr mjiulize wenyewe msisingizie upande wa pili .nivyema mkapendana na mkaamua kujipinda ili...
mimi km mtanzania huwa siangalii sana majina teuzi mbalimbali zinazofanywa na marais wetu mm naangalia utanzania wake tu.mambo ya kuangalia huyu ni dini gani naona huu ni ushamba wa mawzo na ubinafsi na udini uliokithiri ni vyema masuala ya udini tuyaweke pembeni nchi isonge mbele.udini udini...
inashangaza sana mtu mzima km mzee mohamed said anawasilisha ushahidi wa picha ya uwanja wa taifa kuliko kuleta picha halisi ya tukio la siku hiyo la uwanja wa uhuru.hv watz ameturoga nani tunakua waongo ht katka mambo ya dini.lengo lt ni lipi hasa.kutaka kuungwa mkono ktk mambo ya dini au ni...
uongo mwingine ni aibu kubwa .mtoa mada kuwa mkweli kwa ulichoandika na ushahidi wa picha ulioutoa hakika ni aibu .picha ya uwanja wa taifa unaipeleka uwanja wa uhuru siamini mtu unaweza danganya ht ktk kipindi cha ramadhani..
tz mtu akiwa prof bs anajiona anaweza danganya watu kwakua ni prof angalia lipumba alivyojifehesha katapika halafu anataka kila matapishi yk mh aibu sana.wasomo wa nchi hii nitatizo kbs ni waoga sana.nawaamini sana watu wenye elimu ya kati lkn wasomi mh ni shida..wanaona masaki makongo mbezi ndo...
nchi hii wasomi ndiyo wanafiki wakubwa wasomi ni waoga hawako tayari kupoteza ugali wao ili kuitetea nchi na wananchi .mpk sasa sijaona msomi aliesomeshwa kwa pamba kahawa korosho na wazee wetu akawa dira ya ukombozi wetu naona wasomi wamekua wanafiki tu wasomi wa tz ni wachumia tumbo waoga...
makanisa makanisa makanisaa biashara biasharaa usaniii usaniii usaniii mh hata yesu alikuta kuna watu wanaponya kwa njia ya belluzaburi naona sasa belluzaburi ameshika kasi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.