GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,618
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mmeianza wiki salama na kwale ambao mmeamka vibaya poleni na yote kwa yote tumshukuru Mwenyezi Mungu.
Takribani kwa siku kadhaa sasa tokea Kijana mmoja Shoga alipofanya interview na Kituo kimoja cha Runinga kumekuwa na taarifa mbalimbali za kupotosha hasa dhidi ya huyu Shoga na Mkoa wa Mara.
Kwanza ijulikane kuwa yule Kijana Shoga si Mwana Mkoa wa Mara bali kwa mujibu wa yale maongezi alisema bayana kuwa ni Msukuma kwa Kabila kutoka Mkoani Mwanza.
Wana Mara kwa masikitiko makubwa na ya uchungu tumeshangazwa mno na sana na jinsi Watu katika mitandao mbalimbali ya Kijamii wakisema kuwa huyo Shoga ni Mwenyeji wa Mkoa wa Mara kitu ambacho si cha kweli.
Labda ieleweke tu kuwa haijawahi, haiwezekani na wala haitawezekana hata siku moja Mkoa ambao unajulikana kwa UJASIRI wake na Baba wa UHURU wa nchi hii kutoa Shoga tena wa aina ile ya yule Kijana.
Hivi kwa akili zenu tu za kawaida Mkoa wa Mara kwa jinsi mnavyoujua na shughuli yake pevu anaweza kuzaliwa au kutokea Shoga kweli?
Mwisho tunasema kuwa iwe mwanzo na mwisho kumuhusisha huyo Shoga na Mkoa wa Mara kwani Wana Mara tumevumilia na nadhani sasa kiwango chetu cha uvumilivu kimeshafika ukomo na tunaomba Mamlaka husika isaidie kuondoa huu upotoshaji kwani Wana Mara tumeumia, tumesikitika na tumeaibika kwa kiwango cha juu.
Features za Wana Mara zinajulikana tu kama vile:
Iwe mwanzo na mwisho kuuhusisha Mkoa wa Mara na masuala mazima ya Ushoga.
Imetolewa na:
Msemaji Mkuu wa Wana Mkoa wa Mara Mitandaoni
GENTAMYCINE
Akhsanteni na naomba kuwasilisha.

- Lazima awe na Makovu usoni au mbavuni au mgongoni au ugokoni.
- Muda wote lazima atakuwa tu ni mbabe mbabe.
- Sura yake imekaa tu Kikazi kazi.
- Lazima awe Mweusi.
- Ni Mkomavu wa kumwangalia au wa kumshika.
- Jasiri.
- Akiongea habani pua.