Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,889
Nakumbuka issue ya Dr.Slaa kutaka kuondoka CHADEMA ilianza hivi hivi.Yalisemwa mengi na alikuwa kimya kabisa pasipo kukanusha.Kwa sasa naona mazingira ni yale yale na habari hizi,kama ilivyojuwa kwa Dr.Slaa, zimekuwa zikiletwa na watu wale wale kutoka upande ule ule.Hii si bure bali huenda kweli kuna jambo na hawa ndio wanasiasa wetu.
Dr.Slaa hakuwahi kukanusha uvumi wa yeye kutaka kujiondoa CHADEMA na hata kuna siku hapa mtandaoni alimjibu Yerricko kwa maneno fulani ambayo hatukuyataraji kuhusu issue ya yeye kukaa kimya nadhani wote mnakumbuka.
Mnyika nae anapita mule mule alikopita Dr.Slaa maana magazeti yanaandika na wala hajisumbui kukanusha hivyo naanza kupata mashaka ni kwanini aache hali iwe hivi ili hali ana uwezoo wa kukanusha kama alivyofanya Lwakatare majuzi hapa JF baada ya uzushi kuwa chama kimemtelekeza huku akiwa mgonjwa.
Mnyika, kama ni wewe, bado una nafasi ya kukanusha uvumi huu na ikibidi sasa uchukue hatua kwa wanaokuzushia ila pia sitashangaa kama utaamua kubwaga manyanga maana huu ukimya wako nao unatia shaka.
Pia kama ni mbunge mwingine tofauti na Mnyika, nae atoe ufafanuzi vinginevyo njia nyeupe aende anakaotaka kwenda tusibembeleze watu.