Recent content by nessonlegend

  1. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Mbao ya mkongolosi na mtunduru ipi bora zaidi kwa milango?

    Miti yote migumu ni mizuri, Ila mninga ni kiboko.
  2. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya ushirikina

    Duh kweli ni ushirikina halali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Ngorika lipo siku hizi. Nakumbuka safari ya Kwanza toka dar to Moshi nilipanda basi linaitwa MBAZI sijui. Kwa kweli nilijuuuuuuuuuta, ndani gari ni siti 3 Kwa 2 afu ni zinabana miguu kama mtu ni mrefu nilijikuta nimekaa kupande toka dar mpaka nashuka moshi Kwa kweli nilijuta sana lile gari.
  4. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania The dark side of general Mabeyo

    Brain washed
  5. nessonlegend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

    Acheni uzinzi.
  6. nessonlegend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki niishi naye kwanza mpaka nijitambulishe kwao

    Wanaume hufanya maamuzi
  7. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Ni mwendo WA kununua baiskeli tuuuuu
  8. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    Mleta mada ww ni miongoni mwa zoazoa mnaoharibu JF. Kitu kama umekopi na kupest onyesha upande uliopo.
  9. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Mwalimu; inakuaje unagomewa na mwanafunzi uliemzidi umri na elimu?

    Unazungumzia walimu gani?
  10. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Sugu "Tumewajibu kwa mimba"

    Bro wangu wa kitaa, mbunge wangu. Big up Sugu.
  11. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu ya Muislamu kusherekea siku ya wapendanao- Valentine day?

    Kama Allah ana nguvu si aipiganie dini yake, mi nadhani kila mmoja ashike hamsini zake, akienda jahanamu wewe kinakuuma nn.
  12. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    UONGO. Unataka kusema hao wanunuzi walikuwa wakikungoja ww utoke mjini ukawakusanyie karanga huko kijijini??? [emoji38][emoji38][emoji38] Je ulipokuwa unatoka mjini hukujua unaenda kufanyaje huko bushland tena ukiambatana na mkeo, maana umesema ni mwenyeji WA huko [emoji35][emoji35] Ndani ya...
  13. nessonlegend

    JamiiForums Tanzania Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

    Watu kama nyie hamkawii kuuwa wazazi [emoji35][emoji35]
Back
Top Bottom