Pole kwa chadema!!!!! Mimi si mwanachadema wala chama chochote lakini nadhani hapana shaka chadema watalirudisha jimbo lao,,,,,,,,wanakubalika sanaaa arusha nimeishi kule naona joto la kisiasa,,,, watu wa arusha huwaambii kitu zaidi ya people's power. Kikubwa wajipange, watafakari ni mgombea...