Recent content by nergomafioso

  1. nergomafioso

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Jamaa katutelekeza mazima acha ni unsubscribe ili nisipate notification kabisa niisahau hii simulizi😔
  2. nergomafioso

    Nina miaka mitano sijala UGALI

    Ugali tunakula ili tusife
  3. nergomafioso

    Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Na jina akabadili! Je Mbunge huyo ni NANIIII?🤐
  4. nergomafioso

    Hiki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngapi?

    Khaa sasa kigari gani icho asee bora umnunulie ata tvs 125cc mpaka ajue kugonga gia utakuwa ushapata hela ya harrier anaconda.
  5. nergomafioso

    Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

    Ungejua kuna majobless wengi mnoo uku jukwaani hata usingecomplain ni vile humu jf tunaishi anonymously
  6. nergomafioso

    Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    ile sukari unaikutaga kwenye matunda anawekaga mjomba ako sio? Ujuaji ukizidi unakua ushamba
  7. nergomafioso

    Hii ndio namna inayoweza kukupatia pesa kwenye mitandao

     WARAKA kama huu huu ndo uliwafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule
  8. nergomafioso

    Kumbe watu mnafaidi namna hii

    Mtaalam bila shaka mods wamekuelekeza umu jukwaani Chai kwa mstari si unajua vitafunwa vichache?
  9. nergomafioso

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Issue inakuja utakapoanza kununua coins itakupasa uendelee kununua mpaka mwisho wa simulizi kwakuwa huwezi kuja jukwaani apa na kusoma free version au itakupasa usubiri mpaka muendelezo utakapofika episode uliyoishia kwenye fasihinet, itapendeza mwandishi akimalizia utunzi wake na kuuza kwenye...
  10. nergomafioso

    Boniface Mwangi na Agatha wakielezea walivyofanyiwa udhalilishaji wa kingono na Polisi wa Tanzania

    Mwanaharakati kutoka nchini Kenya Boniface Mwangi amejitokeza kwenye mkutano na waandishi wa habari na kueleza aliyopitia A - Z baada ya kuchukuliwa na maafisa usalama wa Tanzania...... https://www.instagram.com/reel/DKaCvaXNXYj/?igsh=MWsxOTJrcHBxcTVlMw== TANZANIA TUNAENDA WAPI?
  11. nergomafioso

    KERO Wafanyakazi wengi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere wanailetea picha mbovu Tanzania kwa kusoka weledi wa kazi

    ila washua mna mambo😂 Mkiombwa mnatoa kwa kinyongo, Mkiibiwa mnanuna😠 NYIE VIPI KWANI
  12. nergomafioso

    Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Wewe mtoa mada ndo unakichwa kidogo hivi kwa akili zako kama kungekuwa na misunderstanding alipaswa kuieleza jamii labda ndugu zangu watz ktk uchaguzi ujao sitasimama kama mgombea mweza wa mama abdul kutokana na tofauti zetu binafsi? Alafu ww kwa umri huo uliofikia unadhani kila mkulima...
Back
Top Bottom