Recent content by nephrone

  1. N

    Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    Vp kuhusu kuukodisha kwa wanaohitaji shot moja na kuingiza hela
  2. N

    Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    Wanawake na kuvaa kote uchi ili wapate soko mnawakataa hadi kutengenezewa midoli ya kugegeda changamoto hizi hazitaisha kwa mtoto wa kike
  3. N

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    What do they expect if they keep on chasing away foreigners
  4. N

    Tanzania deports east African migrants

    I wonder why Tanzania kila siku mbona nchi zingine kama Uganda hatuyasikii haya, jamani watu kuanzia 1972 saiv ndio wanafukuzwa manake wameonekana saiv au, impact ya hizi vitu itakuja kuonekana baadae ukimuona Kobe kainama ujue anatunga sheria
  5. N

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Brother what you should know is that when always the deal is too good think twice
  6. N

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    My dea I bealive love is for the two, ninachojua mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mumewe, kama una any source of income time mume wako ameishiwa mpe surprise ya kumtoa out na kumpa chakula anachopenda sana mwite majina ya upendo mnapotoka then huo usiku mpe mzigo as if hutawahi fanya...
  7. N

    Nimesoma shahada ya sayansi ya misitu natafuta kazi

    Kuna kampuni ya uingereza inayodili na bird life inatafuta watu kama nyie, unapewa free tiket ya kwenda Asia na kufanya forest management inayoitwa ecosystems conservation for the survival of their birds
  8. N

    Mpenzi wangu amenisaliti na mzazi mwenzake! Nina wasiwasi ataendelea kunisaliti naye

    Kaka bora kukosea kujenga kuliko kuoa, aliepanulia mwanaume akazaa nae umemuhurumia na mzigo wake ukamchukua bado anaendelea kumpa kimbia itakugharimu zaidi ya hapo
  9. N

    Rais Magufuli ajitetea kukua kwa Deni la Taifa. Adai kuwa tajiri lazima ukope, kuwa na madeni sio dhambi

    Nilifikiri ziara za nje zikishitishwa tutapata maendeleo bila kutegemea madeni kumbe maisha ni yaleyale na hali ngumu ya kupata pesa
  10. N

    Kuombwa hela kama dhamana usipewe chochote kinachoonyesha umeitowa ni ruswa?

    Naombeni watu wawe kutoa mawazo yao ili tumsaidie huyu dogo
  11. N

    Kuombwa hela kama dhamana usipewe chochote kinachoonyesha umeitowa ni ruswa?

    Kuna jamaangu kaombwa hela kiasi cha laki tano kama dhamana baada ya kukamatwa na maafisa fulani sitowataja na hakupewa kitu chochote kinachoonyesha kaitoa hio hela, ila baadae kapelekwa mahakamani na tulikuwepo kama shahidi wakati akiitoa, vp hio ni ruswa au ni nn mana anaidai lakini...
  12. N

    Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Siwezi subiri kushauriwa ila kama amenitusi nimeomba msamaha anaendelea kisha ndala then nitatoka nitafute wa kunipunguzia stress then nirudi vry late asipoelewa nitarudi na plan B
Back
Top Bottom