Recent content by Neowadee

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Duh, tueleweshe basi na ile ya tumepikwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: C.O.D.EX.

    Nzuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Riwaya: "Cabo-delgado"-part 01

    Nzuri sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha genge kipo Oysterbey polisi kama mnabisha naleta taarifa zao hapa

    Wee ogopa watu na madale wamejaa mashushushu wanamiliki maduka makubwa na liquor stores( blood money) chunga mdomo wako tena wapo humu if ukionyeshwa hutaamini.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Matangazo ya Instagram yanatumia bajeti haraka mno bila matokeo

    Kama biashara yako haihusu warembo wa insta acha kupoteza hela zako bure na target hutafika tumia mbinu nyingine za ads
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naishi naye ndio, Lakini...

    Ila wanaume bana, kweli mnadhani akili za wanawake ni hamnazo kiasi hicho. Tulia utunze familia yako vinginevo yowe la dunia linakuhusu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Ndagu/Majini

    Vp mkuu ulifanikiwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Propaganda za uchawi na ushirikina

    Mkuu naomba conection ya mganga mzuri najua wew umeachana na hayo mambo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Hata mim nashangaa sbb lzm ijulikane ni inclusive au exclusive ila haya mambo nayo ni magumu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Ndagu/Majini

    Ukipata nigawie na mim
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Hatuna tofauti sema mim ni ke ila kwa waganga sijaenda nafikiria nijaribu upande huo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Hatuna tofauti sema mim ni ke ila kwa waganga sijaenda nafikiria nijaribu upande huo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Mkuu hapa kwenye ndoto huwa inakuwaje maana naota sana nikiwa pamoja na ndugu yangu marehemu akinionyesha vitu na baada ya mda mfupi vinatokea kweli, hii imekaaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Walioshinda Green Card waje watupe msaada imewasaidia nini au wanatushauri nini? Hapa tunahitaji undani wake

    Mkuu nipe connection ulifikaje maana bongo pagumu
Back
Top Bottom