cheki PM yako
Ukipata nigawie na mim
cheki PM yako
wenye connection zakweli hawatoi kakaUkipata nigawie na mim
Well done my son. Nione PM.
okWell done my son. Nione PM.
hujambo?
Ukifanikiwahujambo?
nishakuelewa, usijaliUkifanikiwa
Umeshafanikiwa??nishakuelewa, usijali
bado sijafanikiwaUmeshafanikiwa??
shida pakumpata mkuu. waganga wengi wamekua matapeliTafuta mnyama, ningekushauri chatu, tafuta kinda,
Mfuge Kwa kumpa anachostahili kula, ole wako, usimpe kilichokufa, pia usimshindishe njaa,
Hakikisha unamuona muda wa kumpa chakula tuu basi, pia hakikisha hakuna mtu yeyote atakayefahamu kuwa unafuga chatu, iwe Siri,
Akifa na mtu atakufa, uhai wake ndio utajiri wako, linda silka zake, na yeye atalinda mali zako,
Milele abaki kuwa rafiki wako wa Siri, ndie mwenye kukupa nguvu, hakikisha anaua mwenyewe, pia usimuweke kwenye sakafu, na chakula utampatia wewe mwenyewe
Utambadilishia kitoweo kutokana na umri, na mara Moja moja jitahidi kumsogelea karibu ili azoee harufu yako
Pia ningekushauri ungeweka mbali wanawake na familia Kwa Sasa, ili wasikuharibie mambo
Ahsante
Sio woteshida pakumpata mkuu. waganga wengi wamekua matapeli
kama connection yauhakika unayo naomba tuonane PMSio wote
kama connection yauhakika unayo naomba tuonane PM
Nasubiria pia kuona kama kweli alifanikiwaVipi mkuu ulifanikiwa? Nahitaji connection pia