Recent content by nenegete

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya A4 copy paper kutoka nje. Nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie

    Habari wana jamvi! Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa. Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Kweli mtangazaji alikuwa anambeba mtatiro Polepole yuko vizuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tuchangamshe akili wakuu

    Light, right, write
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Ferre g utakuwa na mgogoro binafsi, kwa kuwa pengine unajifanya kufahamiana naye kwa taarifa yako anafanya vizuri, watu wa naangalia uthubutu na vitendo. Amos siyantemi kazindua kitabu cha ccm na ukombozi. Acha kubeza kwa kuwa unamfahamu leta hoja
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Acha upuuzi lete CV yako tuone uwezo wako, acha kukatisha tamaa vijana wazalendo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Ukweli vijana tunapaswa kubadili mtazamo, wengi wetu wanafikiri ili mtu agombee Urais ni lazima awe Waziri, mbunge au mtu maarufu sana. Hiyo sio kweli na wenye mawazo hayo mgando wanataka kutulazimisha tuibadili katiba yetu ya sasa kwamba ili mtu agombee Urais ni lazima awe na miaka 40 na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Huyu jamaa nimesoma naye pale kurasini anauwezo mkubwa lakini tatizo amekaa ccm toka 2000 hawa ccm sijui wamemfanyia nn angekuwa chadema angekuwa mbali sana kisiasa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Tusikilizie anakuja na agenda ipi siyo kupuuzia kila kitu, u kipuuzi a kila kitu utakuwa mpuuzi mkubwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Taja na jina la baba yako tusikie anafahamika wapi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Mtu akileta taarifa kwenye jamii flani lengo ni kuwafanya wengine kuelewa cha mhimu ni source yake. Pia watu makini tujadili issues na sio watu kutukana hapa J forum watu wengine sijui wamekula maharage ya wapi.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Tatizo la vijana wengi wa taifa hili ni waoga sana kazi ni kulalamika na kukosoa lakini linapofika swala la kutenda na kuthubutu zero. waacheni wanasiasa vijana wapya walete mabadiliko, kuupata uraisi hawezi lakini amejaribu hiyo pekee ni hatua.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Tatizo sio mleta uzi, tatizo ni watu wenye mawazo hasi siku zote,
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Ni mtanzania anayo haki ya kikatiba kufanya hivyo, hapa ninachokiona ni uthubutu ni kitu kikubwa, inaweza kumsaidia, wewe unaemponda uwahi kuthubutu? Waacheni vijana wazalendo wathubutu pengine inaweza kusaidia taifa letu. Acha kukatisha tamaa vijana,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kisukuma

    Manyhakenda unoko wi kumi. lukanya bado. lugwisha ndutu ja banyha
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama una stress please read this...

    wewe ni noma.nimecheka mpaka nimekuwa kituko hapa nilipo
Back
Top Bottom