Recent content by nemyapril

  1. nemyapril

    Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

    kuku mweus, Undergraduate student bado uko na mawazo backwards kiasi hiki? Do you know you can access Ms Office package through your phone? So you can type your assignment kwenye simu.. You can access JF but you can't search materials for your assignment? Such childish excuses..How are you...
  2. nemyapril

    GSM kumbe walijenga kwenye eneo la bahari

    Hahaha super whaaat!
  3. nemyapril

    Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

    Anatafuta uenezi[emoji33] au uRC [emoji33].. sio kwa pumba hizo
  4. nemyapril

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Toa ushamba...tatizo Lenu mmezoea singeli..mpaka Mrushe makalio ndio mburudike... This song has class.. International rhythm waswahili Kama wewe huezi kuelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. nemyapril

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Toa ushamba...tatizo Lenu mmezoea singeli..mpaka Mrushe makalio ndio mburudike... This song has class.. International rhythm waswahili Kama wewe huezi kuelewa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nemyapril

    Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii nimecheka Mimi... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. nemyapril

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Usingekua jamii forums unaandika threads za kipumbavu..bogus kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nemyapril

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Hahaha nimemuona nikajiuliza huyu hanaga kazi eeenhe
  9. nemyapril

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Wallah mnaopenda pesa za mteremko kilio chenu chaja...hii michezo ya bitcoin sijui one coin msubiri vilio...save this thread utairudisha mda si mrefu..
  10. nemyapril

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Si walikua wanatumika...haya Sasa anaanza kuwapanda kichwani[emoji23][emoji23]
  11. nemyapril

    Vita ya Kificho ya Nape na Makonda sasa yafikia patamu

    Acha kupotosha umma..Nape Ni waziri wa habari..kwenda EFm Ni sehemu ya ziara zake na si vita uliyoibuni wewe..na alipokwenda TBC alikua anapigana vita na nani?...alipofika ofisi za ITV alikua anapigana vita na wewe? Be realistic
  12. nemyapril

    Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Hivi kweli daudi Ni kibri tangu zaman...form four na ma suspension shule...kulikua hamna namna zaidi ya daudi kuzungusha[emoji778]
  13. nemyapril

    Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Hakuna namna ampe tu shkamoo..shule baaana[emoji23] [emoji23]
  14. nemyapril

    Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Kumbe bashite anastahili kuniamkia wallahi..
  15. nemyapril

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Hata yeye si malaika...wanaojua sheria wanapinga...
Back
Top Bottom