Watanganyika, Wa Congo, Warundi, Wanyarwanda, Waganda, Wamalawi, Wakenya, Wangazija na n.k. Wameishi Zanzibar kabla na baada ya biashara ya utumwa. Kwa nini issue ni kwa watanganyika tu?. Zanzibar mtabaki kwenye muungano mpende au msipende. Hata US haikuungana kwa hiari, Southern States...