PLZ READ:Baada ya kukosa ajira Tz,sasa nimeangalia kwenye MKOPO wa MILIONI 6. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PLZ READ:Baada ya kukosa ajira Tz,sasa nimeangalia kwenye MKOPO wa MILIONI 6.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, Aug 7, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Samahani lakini:
  jaman wana Jf,members na visitors,nimeangaika sana kutafuta ajira hapa Tanzania mpaka basi! Nimetoa photocopy kibao za vyeti na passport size kupeleka kwenye ofisi za watu,lakini wapi!
  Mpaka dakika hii am Jobless.
  Sasa nilikuwa nawaza na naomba,kwa yeyote mwenye uwezo,awe yeye binafsi au kampuni,aninunulie BAJAJ[matairi matatu] nitakuwa narejesha taratibu. Nasikia Bajaj mpya inachezea kwenye milioni 5.5-6.
  Hata nikipata used ili mradi nami niweze kujikimu kimaisha. Namhakikishia mwajiri tutawekana wazi ili nipate huo mradi.
  Mimi naishi Mbezi ya Kimara-Dsm.
  Kwa aliye tayari please use +255718651174 au +255768252589.
  All the best.
   
 2. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,593
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Waoh!........pole sana kamanda mimi nakuombea kwa Mungu na wewe pia usiache kumuomba na amini utafanikiwa kila la kheri.
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wazo nzuri sana ningekuwa na uwezo ningekusaidia, inshaalah atapatikana mwenye nia kukusaidia
   
 4. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Unatafutia watu BAN sio? Au umetumwa na Ma Mod?
   
 5. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  asante sana kwa kuniombea kamanda!
  Peace be with you!
   
 6. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Shukrani Ummu. I hope ntafanikisha.
   
 7. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  BAN ya nini tena hapa jamani? Atakayeandika matusi kwa wazo langu atakuwa amejitakia,na atakuwa sio timamu 100%. Mawazo ya mtu yaheshimiwe,na hayo ndiyo mawazo yangu!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kazi ipi uliyokuwa unatafuta? una ujuzi upi? kama huwezi kuweka wazi, nitumie kwa pm, naweza kukupa mawazo.
   
 9. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Kaka usikate tamaa na mimi ni mmoja wapo wenye situation kama yako so u are not alone...one day!!!
   
 10. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kiingereza hiki, utatafuta sana ajira
   
 11. BIF

  BIF Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimjaji mtu kwa lugha jaji utendaji wake wa kazi na icho ndo wabongo tunachokosea utakuta mtu mdomono anamwaga ung'eng'e ile mbaya mpe kazi afanye uone ayo madudu atakayoyafanya.
   
 12. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  wewe c unakijua sana kimombo!
  Endelea tu kubabaika na nafasi uliyonayo hapo kwenye ofc za watu.
   
 13. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  watu kwa upimbi humu mmezidi, kama huna cha kuandika pita kuliko kuanzisha ligi humu kwa wastaarabu, heshimu mawazo ya watu
   
 14. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  uckonde na kukata tamaa mapema mkuu, mie mwenyewe huu ni mwaka wa tatu lakini sikati tamaa I still believe that one day yes
   
 15. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hivi watu kama akina SOBODO,NDESA PESA na WAZEE WOTE WENYE UKWASI wanapitaga huku kweli kuona vilio vya vijana?
  Myself i'm the victim of situation that you pass,
   
 16. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unaweza kumsahihisha?
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Ndio tatizo la masista duu wa bongo....kujifanya mnajua sana ENGLISH wakati you are empty headed...
  Mnaleta mzaha mpaka kwenye mambo ya msingi.............
   
Loading...