Recent content by Nelson06

  1. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Samia ingekuwaje?

    Nafikiri ingekua pazuri kuliko ilipo sasa
  2. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Car wash

    mkuu umeandika haraka mno, kunywa maji kwanza uelezee vizuri., kwamba wanakamata gari likiwa car wash ama? mana najua yono hua wanakamata ukiwa umepark vibaya.
  3. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Chuki yangu na trafiki imegoma kuondoka

    Hawa jamaa wanajisahau sana mkuu, wameweka tamaa mbele kuliko chochote, anyway tutafika tu.
  4. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Bullet Train na Interceptor - Action
  5. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vijana tupambane

    Kwenye Old hapo wachache sana wana hela hata ivo.:) wengi ni apeche alolo
  6. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

    sio kesi hata, chukulia mfano gari yako mafuta yapo very low, ukaenda sheli ukaweka lita kumi, ukatembea km 100 mafuta yakawa kama yalivyokua before (very low) means gari yako approximately inatembea 10km/l (100km/10ltr)
  7. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

    Poa Mkuu I will.
  8. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

    240,000 240,000 ni namba C
  9. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

    Mkuu nazingatia sana jinsi ya kukanyaga accelerator, na pia naendesha kistaarabu sana siajawahi kuzidi 3 rpm, hua naishia 2.5 ila mara nyingi ni 1.5 hadi 2 basi, labda hizo sababu nyingine nyingine...
  10. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Vitz Rs (cc 1,298) 8km/L

    Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km. kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea...
  11. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    umeongea fact sana, ni kama umemaliza yote.
  12. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    aagh, saivi nimeshusha countdown ya 2019 nimesoma story yake very interesting..
  13. Nelson06

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Nyie jamaa, kuna mtu ameiona Thor, mi nimeiangalia jana sijaridhika nayo kabisa naipa 4/10 yani ni tofauti kabisa na zilizopita, fiction zimekua za kipuuzi puuzi tu..
  14. Nelson06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu sio mtu wa kumfunza kimaneno muonyeshe vitendo

    Nakula kiyoyozi hapa seat ya mbele kabisa pembeni ya dereva
  15. Nelson06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kasababisha nimekosa mbususu hivi hivi kizembe

    Amen Amen, Mungu amekuepusha na jambo kubwa sana, kwanza kabisa mshukuru huyo rafiki yako, pili nenda katoe shukrani kanisani/msikitini. kama ipo ipo tu
Back
Top Bottom