K Kambona Mosha New Member Joined Aug 2, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Oct 8, 2022 #1 Jamani dar imechafuka yono wanakamata magari kila mahali hasa kimara Hadi kibaha tuwe makini tutafilisika
Jamani dar imechafuka yono wanakamata magari kila mahali hasa kimara Hadi kibaha tuwe makini tutafilisika
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,884 Reaction score 13,973 Oct 8, 2022 #2 Eeenhh!!!!!
Nelson06 Member Joined Feb 1, 2017 Posts 62 Reaction score 246 Oct 8, 2022 #3 mkuu umeandika haraka mno, kunywa maji kwanza uelezee vizuri., kwamba wanakamata gari likiwa car wash ama? mana najua yono hua wanakamata ukiwa umepark vibaya.
mkuu umeandika haraka mno, kunywa maji kwanza uelezee vizuri., kwamba wanakamata gari likiwa car wash ama? mana najua yono hua wanakamata ukiwa umepark vibaya.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,852 Oct 8, 2022 #4 Hujaeleweka.