rich1 JF-Expert Member Jul 31, 2015 2,967 3,189 Sep 22, 2022 #2 lubbu said: iiii kitu naiona sana vijana tupambane View attachment 2364587 Click to expand... 1.pesa 2.muda 3.nguvu
lubbu said: iiii kitu naiona sana vijana tupambane View attachment 2364587 Click to expand... 1.pesa 2.muda 3.nguvu
Nelson06 Member Feb 1, 2017 61 244 Sep 23, 2022 #3 Kwenye Old hapo wachache sana wana hela hata ivo. wengi ni apeche alolo
Kambaku JF-Expert Member Nov 12, 2011 7,153 26,732 Sep 23, 2022 #5 Mkuu hata ukipambana vipi unadhani unaweza kuwa na pesa ukiwa young au unaweza kuwa na energy ukiwa old?
Mkuu hata ukipambana vipi unadhani unaweza kuwa na pesa ukiwa young au unaweza kuwa na energy ukiwa old?