Hello, Naona haujapata jibu la swali lako.
Hiyo Harrier imetengeneza 2015.
Kwa hiyo umechukua hiyo estimated ushuru 2023. Kwa hiyo kuanzia gari limetengenezwa had huo mwaka 2023 imepita miaka 8(2023-2015).
Kama gari toka limetengenezwa limepita miaka 3 hadi 8. Linakatwa Excise Duty Due To Age...
Keep going man! Naona hate nyng kwenye hii post. Lakini umewapa fursha wamekata... Mim mwenyew nafanya Adsense for a long time. So it's pay well na nmeacha kazi kwa ajili ya online business. Hata kama umemake 400k-600k per month ni bora kuliko mtu ambae kazi yake niumbea JF au kuanza kujudge...
tanx for that man,unaweza pia ukadownload album za mbele ukiingia katka website ya!!!urbanmusichq.com,hko unadownload zip file ambalo linacontain all songs la hyo artist baada la Ku unzip!!
Mwanang alchosema horseshoe ni sawa kabsa!virus ndo wameitawala hyo memory card!kama vp katafte antivirus ambayo ni strong itakusaidia kama smaRT-Protection,smadav 2012-try dat one!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.