Ndugu wanajamii forum ,pamoja na wadau wengine jana nilileta hapa madai yangu jinsi ninavyoteseka sn kwa kupoteteza vyeti vyangu vya O and A level.
Wadau mbalimbali wa hapa jamii forum walichangia hiyo mada na kunipa ushauri mbalimbali.Napenda kuwashukuru sn ingawa huo uzi ulitolewa ,baadae...
Google samahanini kwa kuwakwaza kwa maandishi yangu,lakin natafuta ufumbuzi ambao utatusaidia wote,kwan kama nimepoteza leo na naadhibiwa hivi basi kesho ndugu yako au ww pia.
Ndugu yangu chakii ,siyo rushwa.Baraza la mitahan la Taifa ,linadai kwamba ukipiteza vyeti basi ,haupewi cheti kingine,ila ukitaka kuomba kazi popote unakwenda baraza la mitihani unalipia shs 20000 --------- cheti huko huko ulipoomba na hauruhusiwi kuchukua hiyo statement,wanasema ni makosa.Sasa...
Ndugu waziri wa elimu na wadau wote wa jamii forum, mm n mtanzania. Elimu yangu ni degree ya pili katika biashara na fedha.Hila kwa sasa sina hajira. Lakin ndugu zangu baraza la mitihan la Tanzania linanipa adhabu kali sana kwa kupoteza vyeti nvangu vya form four na form six, mpaka najiona km...
Jaman naomba mnisaidie.Na hata km kuna wafanyakazi wa multichoice mtusaidie.Mm nimenunua DST nakalipia .But nilipofanya installatiom.SCREEN inaandika ur decoder na smartcard is not impaired.Nimewapigia cm toka asub wananipa steps.Bonyeza 2 kwa kiswahili na moja kwa english.Ukibonyeza wanasema...
Natafuta msichana mrembo mwenye sifa hizi.
1.Awe mweupe au maji ya kunde.
2.Awe na umbo namba nane.
3.Asiwe mwembamba Sana.
4.Awe na miguu minene.
5.Awe amemaliza Four form mpaka chuo.
6.Awe na umri wa miaka 24 kwenda juu.
Mimi ni mrefu na si mnene wala mwembamba.
Nina miaka 40...
Kwl ww una akili ya okwi na boban.Huyu sendeka mnayemtetea Ana muda mrefu sn kwn ubunge. Lakini anachofanya kwn ubunge ni kutumika tu.Miaka yote amesaidia nn? Naona watoa mada wengi wanapenda wabunge wanaotumika na si watekelezaji. Prof anapiga mzigo wa uhakika na hana longo longo. Wabongo...
Mag yaan hautaki nionyeshe kuwa niko upande gani? Niko wazi upande wangu ni Prof muhongo. Ametusaidia sn suala la umeme. Sendeka ametumwa tu na watu. Mwacheni prof hachape mzigo.
Hivi karibuni ndani ya bunge la Tanzania Waziri wa nishati Prof Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge alitishia kutoa ushahidi juu ya matokeo ya kidato cha sita ya ole sendeka.
Na km si spika wa bunge kuingilia basi Prof Muhongo angeyataja matokeo hayo.
Cha kushangaza Ole Sendeka badala...
Hongera sn Prof muhongo kwa kuwa makini sn na kaz yako.Tanzania imejaa watu wenye majungu sn.ww endelea kuchapa kz hapa bongo now umeme haukatiki tunashukuru sn kwa hilo.Pia Prof ukitaka kujua kuwa kuna majungu sn bongo na kwamba kila mtu kwao ni mbaya fanya sampling hapa jamii forum...
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?
Shomari Kapombe beki wa kushoto wa zamani wa simba ya Dar amepangwa leo kwenye mechi ya stars na Zimbabwe.
Kitaalam naamini kocha mpya wwa stars amechemsha sana kwani kapombe takribani mwaka mmoja amekaa nje bila kucheza. Sasa kocha anapompanga kwenye timu ya taifa kwa kutumia past information...
Watanzania tuwe makini na habar. Nina maana twende na wakati na habari ambazo zinatokea hapa nyumbani Tanzania.Leo ni tarehe 13 may lakin habar hii ilitokea zamani kidogo kama wiki mbili hv. Nimeshituka sana nikafikiri kwamba daktar mwingine wa mwanza amefia gest. Kumbe ni Yule Yule. Habar hii...
Wakuu juzi jana mheshimiwa Mohammed seif Rashid alipokuwa anajenga hoja kuhusu serikali mbili kwani yeye ni muhumini wa serikali mbili alitumia reference za mwaka 1984.
Anasema Hamad seif wa Zanzibar ambeye ni makamu wa kwanza wa serikali ya Zanzibar ni kinyonga kwn aliwahi kupinga iliyopittatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.