Masikini dengue...
hee dengue tena?
Masikini dengue...
Kama kachomwa sindano ya sumu mtu akasepa unajuaje..!?
He was my School mate at Mwakaleli High School,and I remember one day 2012 we saw each other at VILLA PARK Mwanza.We enjoyed a lot as you know if you meet your school mate whim you lost morethan 10yrs,at that time he was working Bugando Medical Center.He was very cool and very charming person.We lost very important person on our community and the country as well.POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU, POLE KWA NDUGU WA MAREHEMU, POLE KWA MARAFIKI WA MAREHEMU NA WOTE WALIOGUSWA NA MSIBA HUU.
R.I.P BROTHER
lugha ya malkia ni jangaaaaa
Dar kuna raha kupitiliza. wageni msije kwa pupa ?
Mtu achomwe iyo sindano afu aondoke kwa kupitia mlango gani sasa wkt umeshasikia kuwa doc alijifungia kwa ndani
We mzaramo wa wapi mkuu?
Au hao ndugu wanajua kilichokuwa kinaendelea ingekuwa nchi zingine hapo..ingekua balaaTatizo lipo kwa ndugu zake.Walikataa uchunguzi na kutaka marehemu wao.At least kwa mujibu wa source
Hata km umefungwa inawezekana pia amejifanyia suicide...lkn sio kuconclude kirahisi kwamba amejidunga madawa ya kulevya...Mtu achomwe iyo sindano afu aondoke kwa kupitia mlango gani sasa wkt umeshasikia kuwa doc alijifungia kwa ndani