Recent content by nehewaya

  1. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Weka taarifa yoste
  2. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Kama unaenda mipakani zingatia muda wa kutembea usiku uliowekwa kwa usalama wako.
  3. nehewaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seven days in hell! (siku saba kuzimu)-1

    Haijalishi umecopy au umeiba, iendeleze kaka imefika patamu. Pliz nitag ukiendelea.
  4. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Simai Mohamed Said amemuandikia Rais Dkt. Hussein Mwinyi barua ya kujiuzulu nafasi hiyo. “Nimefikia uamuzi huu ambao hapa kwetu si rahisi katika utamaduni wetu. Kutokana na imani yangu kwamba jukumu namba moja la wasaidizi wa Mheshimiwa Rais wakiwemo...
  5. nehewaya

    JamiiForums Tanzania CCM badilisheni Katibu mkuu

    Katibu mkuu ni mtendaji , ndiye anayepanga na kuratibu shughuli zote za chama. Mwenezi ni mtu wa propaganda anatangaza yale ambayo katibu mkuu ameshayachakata. Hivyo Katibu ni mtaalam na si mtu wa mbwembwe
  6. nehewaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Djsuebduebrur
  7. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma kulivyovuruga ndoa yangu hadi najuta sasa

    Serikali iliwalipa wote waliohamia Dodoma yaani baba , mama, na watoto wanne pamoja na vyombo. Wewe unasubiri nini Dar na watoto? Acha kulalamika muulize vema mkeo hela yenu ya uhamisho iko wapi mbebe vyombo uende hiyo nyumba yako pangisha. Au ulijiona una akili nyingi ukamwambia aende alafu...
  8. nehewaya

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Wakati wakusajiri unaonesha kitambulisho cha utumishi wa umma, ndipo utweza kujiunga kifurushi cha watumishi
  9. nehewaya

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Acheni mzaha kwenye mambo ya msingi, mie nauliza swali unajibu asante kwa taarifa. Uko serious? Kabla ya kujibu maswali jiridhishe mkoa husika kwa kuuliza na si kutoa majibu yako ya mfuko. Kupewa ajira ya kujibu maswali ya watu si kuwa una majibu bali jipe muda ujibu majibu sahihi. Sent using...
  10. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Pastor Chris wa Nigeria asema "Magufuli is a wise president" kwa kugundua udhaifu wa vipimo vya Corona

    Wise man hata dictionary ya kawaida umeshindwa angalia mpaka upotoshe ? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nehewaya

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    0739387868 Naomba majibu kuhusu kukatika kwa umeme Nachingwea - Lindi. Je ni mgao na utaisha lini? Narudia hii wiki ya tatu sasa. Mfano leo umeme umekatwa saa nane mchana umerudishwa saa tano usiku. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nehewaya

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Muache tabia ya kutuma sms kwangu kuhusu vifurushi vya Dar Uni wakati mie niko Lindi. Mnashindwa kujua hii cm tunayoitumia sms inasomeka mnara wa mikoa gani. Mjipange vizuri mnapotea kwa uzembe. Kama mnataka wekeni Lindi Uni ili sms zenu zinuhusu na si kunijazia sms kwenye simu bila tija...
  13. nehewaya

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Je mgao wa umeme umeanza? Nachingwea mkoani Lindi wiki ya tatu umeme unawaka lisaa limoja wanakata matatu. Kibaya zaidi ikifika saa kumi na moja jioni wakikata kurudisha saa tano au sita usiku, hujui hata nchi inaendaje maana wiki ya tatu hatuoni habari kwenye televiaheni usiku. Naomba kujua...
Back
Top Bottom