Recent content by Negongo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mzee Makamba?

    Huyu mzee Makamba ni bora akae kimya tu maana akitoa neno tu kuhusu bandari ndio atazidi kulikoroga zaidi, maana huyu mzee mwenzangu sio kabisa!
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

    Kwa kweli mimi ni mwanachama hai was ccm,lakini Kwa hili la bandari hapana,hats mie nimekwazika sana,watu wamechukia ndio maana huku kwetu wakikuona umevaa shati la kijani wanakung'ong'a.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Lawrence Masha na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni watiwa mbaroni kwa kudaiwa kuvunja nyumba ya mwekezaji

    Mashallah vipi mbona una haribu status yako, wewe Mzinza vipi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaopenda mpira wa miguu wana kitu cha tofauti

    Kweli wengi ni sura za goti. Ila ni wacheshi sana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Nimesoma matare shule ya msingi, baadae ikawa kyambai shule ya msingi, wilaya ya Serengeti. Karibu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Nitumie namba yako, yangu ni 0754757895
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke

    Mi mwenzenu nina demu wangu, huwa mpaka nimpige makofi kidogo, yaani tugombane halafu apigwe makofi, baada ya hapo game linapendeza sana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapotaka wowowo na sura vyote vionekane kwenye picha

    Wowowo ndio mpango, nimependa sana hii taarifa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa kinondoni na SIHA mkiwachagua hawa waliowasaliti mkapimwe akili

    Huyo msimpe kabisa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Matare shule ya msingi iko Serengeti, mkoa wa mara, nilimaliza hapo 1975.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa Bongo wanakopishana na mdada ni lazima wageuke nyuma, wanaangalia nini?

    Jamani kajala ni kiboko au mnasemaje?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

    Jamani wolper kitu gani, dada kajala ni mzuli sana yaani mie huwa napenda kumwagilia anapotangaza washindi wa biko au wenzangu mnaonaje?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Jamani dada kajala mzuli duuuh.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Breaking News.........

    Kapimwe mkojo wewe. Si bure.
Back
Top Bottom