Wananchi wa kinondoni na SIHA mkiwachagua hawa waliowasaliti mkapimwe akili

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
KUHUSU WALIOACHA UONGOZI HALAFU WANAGOMBEA TENA. . ( 1)
Kwa jinsi shughuli Ya uchaguzi ilivyokuwa ngumu, watu hawakwenda kanisani, wengine walitoroka ibadani Ili tu kuwahi foleni. . . wengine hawakula, wengine hawakulala. . . . wengine walipigwa virungu, wengine maji Ya. kuwasha, wengine waliweka rehani familia zao na Hata uhai wao kuhakikisha mnaipata nafasi mliyoipata. . .

baadaye. . . mkasema haya yote hamkuyahesabu, mkaachia UONGOZI. . .
Sasa hivi mnataka tena watu wajitoe tena kwa ajili yenu? mmesahauje fadhila na majitoleo Ya wengine miaka 2 iliyopita? kwa nini mmekuwa wabinafsi kiasi hicho? kwamba ninyi muwe na furaha kupitia maumivu Ya wengine, maumivu juu Ya maumivu. . . .

Ngoja niwaeleze vizuri kwa mfano. . .

Ni kama vile mtu aje kwako akuambie ana kiu Ya maji, Nawe Huna, Ila kwa kuwa unamheshimu, uhangaikeeee, ukasake maji Mpaka uyapate. . . Kisima kipo mbali hatari. . . Ila ukamheshimu ukayaendea. . . umempa maji na bilauri, kapiga mafunda mawili, akapita mtu kashikilia chupa Ya pombe, Mbona asitupe bilauri Ya maji, anarukia Ile chupa. . . . maji yakamwagika. . . . akagida pombe, kiu ikaamka. . . anataka maji tena. . . anakuja kukuomba umpatie maji ana kiu. . . . .

Yaani Huyo ni wa kumpa kidumu akatafute maji mwenyewe. . . bora kumpa maji mpita njia ambaye atayathamini kuliko ulomthamini akakutenda. . .

NASEMA HIVI,
Kama walikataa uongozi, wakauacha Ili waweze kumuunga mkono Huyo waliyemuunga mkono, Maana yake waliona wanaweza kumuunga mkono BILA UONGOZI. . . Sasa hiki. cheusi chekundu wanacheza hapo. . . . Si haba goli la mkono wamehakikishiwa. . . .
[HASHTAG]#curse[/HASHTAG]. . . .
[HASHTAG]#curse[/HASHTAG]
 
Tunawachagua kwa kua waliamua kuucha ubunge endapo tu watakua chadema.walivyojitoa tumewaamini na kuwarudisha wagombee
 
Mm watakoa wa chagua hawa watu nitawalaani sanaa
kwenye demokrasia mtu ana uhuru wa kuchagua yeyote huwezi ita mtu hana akili kwa kutumia demokrasia yake.moderators futeni huu uzi unaotukana wapiga kura au mpigeni ban
 
Anhaaa....unakimbia tena unarudi...Uchaguzi ni GHARAMA. Tuikubali/TUIDAI Rasimu ya Katiba ya Waryoba. Ina suluhisho la Ubuyuyi huu!
 
Trump ajatukosea tumpongeze nimkweli napia nakubali jerusalem ni mji mkuu wa israel
 
Kwavile ni Dr sioni cha ajabu sana hapo, ndio wasomi wetu hao Tz . ref hata maprof wengi wao ni shida kubwa ktk uwezo wao wa kupambanua mambo na utendaji wao
 
Trump ajatukosea tumpongeze nimkweli napia nakubali jerusalem ni mji mkuu wa israel
Israel ni Taifa lili asisiwa 1948 na wakati huo mji mkuu wake ulikua sio Jerusalem.
Sasa iweje sasa ia mulike hivyo na kwa msingi upi.
Hata kama uta pitia Bible basi Jeruselem haipo Israel.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom