Swali ni kuwa utabaini vipi kuwa huyu ameoa na huyu hajaoa. Ama kutakuwa na ID kwa wenye ndoa kwenye paji la uso. Na wale wanao ingia dar na kutoka itakuwaje?
Kwa hali hii report ya mwaka ujao si rahisi kuonekana kwa raia wala kupokelewa live. Na sheria pamoja na kanuni zinaweza badilishwa kutoruhusu taarifa hii iwekwe wazi nje ya bunge na sehemu rasmi za serikali
Sidhani kama wazo lako liko sawa kwani hapa duniani kuna watu wanamaono tofauti tofauti hivyo tunapaswa kupokezana hicho kijiti ili kuongeza chachu ya maendeleo na sio mtu mmoja kudumu kwenye kiti.
Nadhani hapo unatakiwa kuweka aina ya samaki maana kuna mikoa ina samaki aina fulani na haina aina fulani. Hivyo jaribu kuweka aina ila mikoa kama Singida Dodoma tabora inauhaba wa samaki fanya utafiti huko pia
Uhakiki ukikamilika wataongeza na sasa waziri mwenye dhamana ametangaza kuwa kuna watu 40000 wamegushi umri hivyo uhakiki wa umri ukiisha maslahi yataboreshwa.
Ni mwananchi maana ni ndiye aliyechangua huu utawala usiomjali. Maana kama wananchi wangechagua tofauti kwa wingi hata kama tuhuma zilizopita za kuchakachua zisingekuwa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wafanyakazi awamu hii ni kama vifaranga kuamini nyonyo kesho. Na kesho yenyewe huwa haifiki. Viongozi wetu wanajua kucheza na kauli zisiozo na timeframe ambazo hamuwezi kuwauliza mbona time waliotupa imekata.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.