kikurunge
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 669
- 661
Mahakama imesema uchaguzi haukuwa huru na haki sio Uhuru aliiba kura na madhaifu mengi yameonekana kwa tume ya uchaguzi na sio kwa mgombea Uhuru .Mimi nadhani ifikie pahala muwe mnajitahidi kuelewa msiendeshwe kwa mihemuko ya kisisiemu.Kenya wamebatilisha uchaguzi ila Zanzibar mlifuta uchaguzi ona mlivyo na laana enyi chama cha makinikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app