Watanzania wenzangu, nimefikiria kwa kina hill swala limeniumiza kichwa sana. Wale wanaohubiri demokrasia nchini mwao hawana demokrasia zaidi ya kutusumbua sisi Afrika. Mifano nitaitoa kama ifuatavyo:-
1. Marekani, nina imani wote tunajua jinsi rais wa Marekani anavyopatikana. Hata kama wananchi wengi wamemchagua mgombea lakini bado maamuzi yanabaki kufanywa na watu wachache kuwachagulia rais (rejea uchaguzi wa marekani uliopita)
2. Urusi ni nchi ambayo Putin ameongoza zaidi ya miaka 20 lakini wanasema wana demokrasia.
3. Ujerumani kwa Angel ndo usisema. Yeye namsikia si chini ya miaka 10.
4. China wao wamempitisha Xi awe rais wa maisha.
Alafu sisi ka nchi ambako ni masikini wa kutupwa eti tunaijua demokrasia. Mimi ninavyoona hawa wazungu wanasisitiza demokrasia ili wazidi kutufanya msikini.
Tumpatie nchi rais mmoja miaka yote ili tuone itakuwaje, halafu baada ya miaka mia moja mbele turudishe hiki kitu mnachoita demokrasia.
Hata ni mawazo yangu.