Recent content by NecZec

  1. NecZec

    HESLB wana tatizo gani mwaka huu?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi mpaka leo hawajatoa majina ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo, iwe mkopo wote au sehemu ya mkopo. Vyuo vinafunguliwa November mara baada ya uchafuzi mkuu tu Ila mpaka leo bado hamna majina yaliyotolewa labda kupata mkopo au sehemu ya mkopo. Wanafunzi wanahitaji...
  2. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    President daruso ntagombea nikiwa second year ila ubunge daruso naanza nao first year
  3. NecZec

    Naomba msaada wa kisheria juu ya kukutwa na kosa la jinai na kupoteza nafasi ya Uongozi

    Habari Iko hivi kuna jamaa yangu amekutwa na kosa la jinai katika moja ya mahakama zetu hapa nchini na amehukumiwa kulipa fine tu kwa kosa alilotenda. Lakini jamaa huyu ni katibu wa tasisi moja ya wajasiriamali. Je kwa hukumu hii atakuwa amepoteza sifa ya kuendelea kuwa katibu wa tasisi...
  4. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    Kwani wewe ulimanisha nikae miaka 10 bila kazi gani mkuu. Kazi ni kazi tu km ilivyo kifo ni kifo tu
  5. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    Nina vyuti km 6 hivi mpaka sasa na ntaongeza 4 ili viwe 10. Nikifika chuo ni mwendo wa vyuti. Kuzingatia ud pale ni mwenyeji. Hivi Daruso bado ipo hai maana ntaanzia hapo daruso nipate kacheo alafu press naita kila baada ya miezi mitatu. Nikuhakikishie kazi ni nyingi sana ondoa shaka, akili...
  6. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    Yani nisome law alafu nikae kitaa miaka 10 bila kazi. Labda ww hufahamu maana ya kazi. Hapa sina fani yoyote ya cheti lkn tayari nina kazi zaidi moja. Kazi ni nyingi sana ila vyeo ndio vichache. Ukianiambia nisome law alafu nikae miaka 10 bila kuwa waziri au rais wa jamhuri ntakuelewa.
  7. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    Tumechoka kuzurura km mbuzi na ndugu wote tumewamaliza kuwatembelea au unataka tuanze kuwarudia tena
  8. NecZec

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu majina yamechelewa vipi?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu wameendelea kukaa kimya mpaka leo hakuna majina hata batch moja. Tatizo nini au mpunga hamna mpaka harambee.
  9. NecZec

    Kati bachelor of technical education in computer science na bachelor of science in information technology kozi ipi bora

    Naomba msaada wa mawazo kati ya kozi hizo mbili nichague ipi ni nikasome chuo kikuu Bachelor of technical education in computer science au Bachelor of science in information technology?
  10. NecZec

    Chuo cha Tumaini Dar es Salaam

    Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu. Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo...
  11. NecZec

    Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

    Wewe ni mpumbavu tu. Mtoto wa mme mwenzako anakuhusu nini
  12. NecZec

    Pastor Tony asipomzuia mkewe mapema atapoteza wateja

    Kumbe inatokea majambazi kufunga pingu za maisha.
  13. NecZec

    Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

    Sio heche tu bali hata watoto wako wanakudhalau ukiwa mpangaji
  14. NecZec

    Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Hii ni kweli ndugu yangu na hukumu bado mbichi kabsa
Back
Top Bottom