Recent content by Nebukadreza

  1. N

    Ukiona choo ndotoni usikitumie

    Ni kweli kwamba unapokuwa kwenye ndoto unauwezo wa kufanya maamuzi kulingana na tukio unaloota kama kukubali,kukataa,kufurahi,kuchukia,kuogopa,kutokuogopa,kuamini au kutokuamini. Kifupi matukio ya kwenye ndoto yatatokea kama kwenye uhalisia yanavyotokea. Maisha ni mapambano uki give-up inakula...
  2. N

    Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

    Tatizo lenu kazi mnazani ni ile muajiriwe tu, tena mnachagua siwezi kufanyakazi ya aina Fulani. Kazi ni shughuli yoyote halali itakayokuingizia kipato. Nafasi za kufagia barabara zipo muda wote, saiti zote za kujenga zinanafasi za kazi ya kubeba zege muda wote. Masoko yote yana kazi za kubeba...
  3. N

    Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

    Tatizo la watu/maskini wengi wanadhani wapo kwenye hali hiyo kwa kusababishiwa na matajiri au wenye uwezo. Ni mawazo mgando sana. Leo hii wape watanzania wote milioni kumi kila mmoja baada ya mwaka mmoja wafuate nakuhakikishia 90% utawakuta hawana hata senti tano na 5% pekee utakuta bado...
  4. N

    Wanandoa wengi hawapendani

    Mshana Jr, Uliyoongea ni Amini na kweli, Wanandoa wengi hawapendani ni ukweli usiopingika. Tafiti za Ndoa nchini Tanzania zinaonyesha talaka zimeongezeka, Nchini Afrika kusini katika kila ndoa 5 mbili zimetalikiwa na mauaji ya kimapenzi yameongezeka sana, Uingereza ndoa 4 kati ya 10 zinaishia...
  5. N

    Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    Mila na desturi za Watemi kuzikwa na watu hai katika bara la afrika ni kitu ambacho kilikuwepo na bado kuna maeneo machache yanaendelea kutekeleza mila hiyo(kwa siri) hasa katika nchi za Afrika magharibi kama Ghana, Nigeria, Afrika kusini n,k. Mila ni Mtazamo na Mila yoyote ikikubalika na jamii...
  6. N

    Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

    Kwa castro wote walichemka, alikuwa anawala na asubuhi anawaambia najua kilichokuleta ningetakakukuua ningekuua lakini ni kwa sababu ni mzuri na umenifurahisha, anawaacha na pesa anawapa na anawaambia wapeleke salamu kwa waliowatuma
  7. N

    Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

    Kuna uwezekano mkubwa wa mchawi kutokujua kama yeye ni mchawi katika baadhi ya mazingira au mwanzo wa uchawi wake, lakini mwisho wa siku atajijua kuwa ni mchawi. baadhi ya mazingira hayo ni kama uchawi wa kurithishwa , mfano babu au baba anamkabidhi mtoto kifaa cha uchawi kama fimbo,kofia, mkia...
  8. N

    Niwatetee waganga wa kienyeji, wachawi na washirikina kwenye hili la MO

    Hayo uliyoongea ni sahihi Nami nichangie kidogo kuhusu kuweza au kutoweza kumrudisha mtu aliyetekwa. Zipo njia za mungu na njia za wanadamu/waganga. Iko hivi, kwa asilimia kubwa usafi wa kiroho(matendo) na wa kimwili(tabia) ya muhusika au wazazi wake ndio italeta ugumu au urahisi wa kumrudisha...
  9. N

    Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Sio kweli kwamba utajiri wa halali haupo. Utajiri/matajiri wa halali wapo ingawa ni wachache. Utajiri wa duniani unamilkiwa na shetani na ukimfuata/ukimsujudia atakupa utajiri kadiri utakavyo mtii. Kumbuka Shetani alimwambia YESU ukinisujudia nitakupa milki/utajiri wote wa duniani. Lakini...
  10. N

    Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

    Utajiri wa kweli/haki unaenda na heshima, Utajiri wa kweli unaenda kwa hatua, hapa maana yake utajiri ni kama mti unaota taratibu unaweka mizizi shina matawi na hatimaye kuzaa matunda. utajiri huo hautatikiswa. Lakini utajiri unaoota kama uyoga au kama mchicha siku saba umeshakuwa mkubwa...
  11. N

    Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

    Ndugu mtoa mada utajiri ni fumbo kubwa, ukweli ni kwamba wapo waliopata utajiri kwa njia halali waliopata kwa njia haramu pia wapo. sio kweli kwamba matajiri wote wamepata kwa njia haramu. Utajiri ni roho, na umasikini ni roho. Maana yake ni hii- mfano wapo matajiri wengi sana ambao ni...
  12. N

    Utapeli madhara yake na njia ya kuepuka

    Utapeli ni janga ambalo limeumiza na linaendelea kuumiza watu wengi sana katika jamii. waathirika wa utapeli ni watu wa kada, jinsia na wazifa tofauti katika jamii bila kujali uwezo wa kiuchumi, elimu ,cheo au nafasi zao. Baati mbaya sana watu wengi wanaotapeliwa ni wa chache sana wanao weza...
  13. N

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Kuepuka kula au kutumia vitu vya washirikina ni ngumu, utafika mahali watoa huduma za aina yyt unayotaka ndio hao hao.Unajua asilimia kubwa ya nguo za mitumba ni makafara ya watu na yanaspirit hai kabisa, unajua baadhi ya mawigi (yapo aina tofauti) ni nywele halisi za binadamu na zinaspirit hai...
  14. N

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Haya mambo yapo na kwa taarifa yako yapo katika kila sekta ikiwemo kwenye maduka, vyombo vya usafiri, ofisi za watu binafsi na hata za serikali. kimsingi jamii imeoza na wale wanaoonekana waadilifu ndio wanongoza kwa maovu. kimsingi watu wenye sifa ya kuwanyooshea watu wengine kidole ni...
  15. N

    Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Sifa au kigezo cha kuweka bendera ni hoteli husika kuwa na hadhi ya nyota tano, sambamba na hilo wakati bendera imewekwa kuna kuwa na mgeni toka nchi zenye bendera hizo. muhimu ni kwamba sio kila mgeni, mgeni huyo lazima awe afisa wa serikali ya nchi hiyo na awe amefika kiazi. vinginevyo umeenda...
Back
Top Bottom