Recent content by nduu

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume mkopaji

    Mimi nimeombwa ushauri, nikajua kuna ma-great thinkers watanisaidia kunipa mikoba ili nikamshauri huyu mama. au hapo kuna ubaya? Kumbuka hii ni ndoa, ni very sensitive issue. mwaga ushauri basi!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume mkopaji

    Nina jirani yangu kanijia kwa masikitiko kwamba mumewe amekuwa ni anayependa kukopa mno. Anadai kwamba tokea wakiwa wachumba amekuwa akimkopa yeye, akikopa kwenye makampuni ya wakopeshaji nk. Tabia hii haijabadilika hadi hivi leo wameoana zaidi ya muongo mmoja. Kinachomuumiza ni kwamba hajawahi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania hii picha inatufundisha nini

    hii picha imeniumiza sana tena sana, maisha ni magumu sana kwa watanzania wengi, na huu ni mfano halisi. huyu mama akikaa nyumbani kulea mtoto inakula kwake, kwa hiyo inabidi mtoto akomae na mama yake kwenye biashara. ni hali ya huzuni sana, achilia mbali akina mama wanaolima na watoto wachanga...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    mimi nawapa big up Muhimbili, mtazunguka kooote kuliwa hela mwisho wa yote Muhimbili. Tafadhali tuzidi kuipa vifaa vya kutosha hospitl yetu kwani pale kuna VICHWA haswa
  5. N

    JamiiForums Tanzania njia gani nzuri ya birth control

    coil ni nzuri kwani unaweza kaa nayo kwa miaka hadi mitano, na kama ukibadili mawazo ya kutaka mtoto unatoa tu. haina madhara yoyote. unakuwa confortable wala u dont feel anything. uamuzi ni wako!
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waoga kuoa wanawake waliosoma???

    wanaowaogopa wanawake wasomi ni wabinafsi, wanapenda kutawala wanawake. nina jamaa yangu kaoa mke akiwa na bachelor; kamuendeleza na hivi sasa ana PhD. Nayatamani sana maisha yao kwani wana raha ajabu, mama akivuta huku baba anavuta kule, mahesabu jioni.
  7. N

    JamiiForums Tanzania tax exemptions

    wapendwa, mimi ni mtanzania nimekaa nje ya nchi(ulaya) kwa muongo mmoja. nimeona hapalipi. nataka kurudi kwetu nije kujenga nchi yangu, kwani naamini mcheza kwao hutunzwa. ninataka kusafirisha mizigo yangu kwa njia ya container, lakini ninataka kuwa na uhakika haswa ni vitu gani ambavyo...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuoe dada yangu?

    wee endelea na mipango ya kumuoa huyo binti ulotoka nae mbali kwani mawifi ndo zao hizo! hata wakizeeka hawaachi wivu! ni nature iwe wazungu au waafrika, wachina..... fuata moyo wako.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na maisha ya upweke

    pole sana, Mungu ni mwema, endelea kumuomba nasi tupo nyuma yako. usijekupaparika ukapata mwenza akakupa magonjwa ya moyo bure. taratibu utapata sabuni ya roho yako!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Never lie to your Mom

    hakuna kama mama
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri gani wa kupishana kati ya watoto?

    mimi nimeolewa nikiwa 26, next wk nagonga 35, nimeshajingua watoto 4, na funguo nimeweka hata ikija tsunami haifungui! sasa nakimbizana kuwatafutia riziki nikiwa na nguvu kibao! msiogope kuzaa!
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

    wewe nazjaz umelazimishwa kuchangia? kwani hujui hii ni sehemu ya mapenzi na raha zake! mambo ya uchumi nenda kwingine utapata wenye hasira za maendeleo kama yako! hata wenye njaa somalia wanafanya mapenzi ndo manake watoto wenye utapiamlo wapo wengi saaaaaana!
Back
Top Bottom