tax exemptions

nduu

Member
Aug 6, 2011
12
11
wapendwa, mimi ni mtanzania nimekaa nje ya nchi(ulaya) kwa muongo mmoja. nimeona hapalipi. nataka kurudi kwetu nije kujenga nchi yangu, kwani naamini mcheza kwao hutunzwa. ninataka kusafirisha mizigo yangu kwa njia ya container, lakini ninataka kuwa na uhakika haswa ni vitu gani ambavyo nitasamehewa kodi nisije nikabeba mauchafu halafu yakaniletea balaa. kiukweli nimechacha haswaa, ulaya noma, miaka yote hiyo nimefanya kazi lakini bills nazo zinakula pesa yote! sikuzamia, bali nilikuja na ninaondoka kiustaarabu!
 
utapata msamaha wa kodi kwa kila kitu ,kimoja kimoja. e.g gari,tv,jiko,friji etc.
upo ulaya ipi,naweza kukushauri uje na nini
 
wapendwa, mimi ni mtanzania nimekaa nje ya nchi(ulaya) kwa muongo mmoja. nimeona hapalipi. nataka kurudi kwetu nije kujenga nchi yangu, kwani naamini mcheza kwao hutunzwa. ninataka kusafirisha mizigo yangu kwa njia ya container, lakini ninataka kuwa na uhakika haswa ni vitu gani ambavyo nitasamehewa kodi nisije nikabeba mauchafu halafu yakaniletea balaa. kiukweli nimechacha haswaa, ulaya noma, miaka yote hiyo nimefanya kazi lakini bills nazo zinakula pesa yote! sikuzamia, bali nilikuja na ninaondoka kiustaarabu!
<br />
<br />
umenichekesha halafu umenishangaza. Yaani unataka kuja kujenga nchi yako halafu unakimbilia vitu vyenye tax exemption!! Ina maana hata biashara utakayofanya utatafuta cheap labors kwahiyo hutojenga nchi wala wananchi. Endelea kubaki ulaya.
 
LOOOL, dah hiyo dio mambo !
:clap2:
 
ungeeleza ni vitu gani unataka kuja navyo tungekusaidia kukwambia kama vitapata msamaha au la. pia kumbuka bongo siku izi kama ulaya kuna vitu unaweza ukajiangaisha kuja navyo kumbe hata huku vipo tena ni cheap zaid ya ulaya. Mi nakumbuka nilinunua kitu vifaa flan ulaya na kuja navyo, kufika huko bongo nikakuta watu wanavyo hivyo hivyo tena wamenunua kwa bei poa na genuine.

Karibia bongo tutakukuta si wengine tunasukuma sukuma siku ziende turudi zetu, Nimemis mgao:)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom