Recent content by ndusyepo

  1. ndusyepo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

    Umri sio kigezo kikuu kwenye mahusiano wala ndoa..hapo ndoa chap tu
  2. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

    Wengi wanakuwa hawajijui kabisa ila ni tatizo linalosaidika hospital
  3. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    [emoji16][emoji16] ntakomaa na bbc news tu
  4. ndusyepo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    leo ntanusa shahawa zangu twone zinavonuka aiseeeeeee:eek::eek::eek::eek::rolleyes:
  5. ndusyepo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu 50 bora za Afrika, Yanga SC ndani

    yanga sio ya mchezo mchezo wala ya kufananishwa na wanaojiita Simba kumbe ni simbilisi......hahahahahahaha
  6. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Ordinary Diploma in Logistics and Transport Management.
  7. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    :eek::eek::eek::eek::eek:mungu anawamulika aiseeeee
  8. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

    my sister tembelea maduka ya madawa yahusiyo urembo utapata msaada zaidi na kuhusu bia sidhani kama huondoa maana wengi wangetumia basi kama n dawa.
  9. ndusyepo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    unakalibia kulizwa mzeeeeeeeee
  10. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi yoyote

    www.zoomtanzania.com/jobs
  11. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    mi nalia na hawa vodacom maana wanatuma sana confirmation sms iwe umuweka vocha na umejiunga unakuta unatumiwa sms ata 5 kwa muda m.moja zinakera aiseeeee
  12. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    na kwanini kila kunapotokea shambulio la askari lazima waje na report inayosema "wanaohisiwa" neno "isiwa" linakujaje inamaana wanakuwa hawana uhakika na wanaowashambulia au ndo kujihami katika utoaji wa maelezo?
  13. ndusyepo

    JamiiForums Tanzania TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    watakuwa wametusaidia sana kama watatekeleza kweli maana ilishakuwa ni kero sana ....unasikiliza tangazo dakika 15 ndo simu inaanza kuita au unaambiwa haipatikani na muda mwingine unahamua kukata tu ata kabla haijaita.
  14. ndusyepo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba iliyoibiwa inatafuta mawakili wa kuwatetea Aveva!?

    simba bhana............hahahahaha nacheka kwa dharauuuuuu
Back
Top Bottom