Recent content by ndusi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria unahitajika

    Nafurahi sana kuwa kwenye jumba hili kubwa la jamii forum, Kwa ukubwa huu nategemea kupata mawazo mzuri ya kunisaidia ktk jambo lifuatalo:- Ndugu yangu aliingia kwenye Saccos moja hivi akiwa na wanachama wenzake kadhaa na waliweka hisa zao kiac cha mil kadhaa kwa kila mtu baada ya miaka...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kituo gani kizuri kwa ajili ya kurudia masomo?

    Mbezi salasala
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kituo gani kizuri kwa ajili ya kurudia masomo?

    Wadau ndugu yangu anataka kurudia mtihani wa O level kituo gani kizuri cha kumsaidia kujiandaa na kufanya vzr kwenye mtihani wa Mwaka huu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nikitoa hela benki ikatoka zaidi inakuwa imekula kwa nani?

    Hakuna kitu Kama hicho uandike 50,000 halafu itoke laki 5 na list ioneshe elfu hamsini hakuna hata kidogo,umeandika status hii kujifurahisha tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fundi wa TV anahitajika

    Wapendwa msaada wa fundi wa flat screen haioneshi picha though sauti ipo Tv aina Samsung
  6. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Hivi cc watz tumelogwa na nani 1.Mkuu wa kaya hakuwa nje kikazi alikuwa chato kwa mapumziko ya mwisho wa Mwaka 2.Kama waziri anajitambua haliwezi fanykia jambo linalohusu wizara bila wewe kujua hili Mhongo alikuwa anajua na Kama alikuwa hajui bac iko shida 3.Kwa nini watu wakisema kweli...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako, CHADEMA hawana muda wa kukuchafua, Mungu ameamua kuanika tabia yako

    Inabidi huyo aitwe Mzee wa Urabu na siyo wa Upako
  8. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa wa Anglikana agoma kujiuzulu baada ya kuvuliwa Uaskofu

    Bado Dk Alex Malasusa wa Kkkt Dar es salaam
  9. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa wa Anglikana agoma kujiuzulu baada ya kuvuliwa Uaskofu

    Watumishi wengi sasahv hawafai wanachafua kanisa tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya umeme

    Wapendwa wenzangu wa JamiiForums, bila shaka tumekuwa tukisikia habari za Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kutaka kupandisha gharama za umeme. Wapendwa nadhani hii si sahihi hata kidogo kwani tuliambiwa faida za kuanza kutumia gesi yetu ni; 1.Kuwa na umeme wa uhakika. 2.Kuwa na umeme wa bei...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Kwa kweli siku hizi hawa viongozi wetu wa dini wamesahau kabisa miiko ya utumishi wao,inawezekana huyu akawa anasingiziwa lkn ukweli ni kwamba wengi wao wanatia kichefuchefu nadhani sadaka zetu wanazozipata bila jasho ndizo zinazo walevya. Mbaya zaidi wanawapiga vita Sana wale waliosimama kwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwakasege namkubali ila habari za kujifanya kaenda mbinguni na kurudi sitakubaliana na wewe

    shida yako ni kwamba hujui maandiko kwa anayejua maandiko hilo haliwezi sumbua kwani anajua ni kweli kisemwacho,mungu akufungue macho ya rohoni uelewe maandiko
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

    Mti wa ajabu hata mm nini? Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

    Behaviourist kibamia cha msaga sumu umekionea wapi?
Back
Top Bottom