Fundi wa TV anahitajika

ndusi

Member
Jul 12, 2016
30
18
Wapendwa msaada wa fundi wa flat screen haioneshi picha though sauti ipo
Tv aina Samsung
 
Uko mkoa gani? Kama nimwanza kunafundi mzuri alinitengenezea yangu naweza kukuunganisha nae
 
Kama hujapata FUNDI mm nanae FUNDI ametengeneza yangu juzi tu ilikua na tatizo kama hilo
 
Back
Top Bottom