Nikitoa hela benki ikatoka zaidi inakuwa imekula kwa nani?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,972
27,204
Hivi nikienda kwenye mashine ya kutolea hela A.T.M pale nikaingiza kadi yangu na nikatoa 50,000. Wakati nimeandika elfu hamsini ikatoka laki tano na risiti ikatoka kuwa nimetoa elfu 50. Hapa swali ni je?? Hiyo hela ilozidi itakuwa imetoka kwenye acount yangu??

Msaada wakuu hapo napatwa na mkanganyiko!!
 
Mkuu hiyo pesa imetoka kwenye account yako, baadae bank wakifanya reconciliation watagundua na watakudai i mean account yako itakuwa na debit balance, soon utakapoweka pesa watachukua chao
 
Kilichoandikwa kwenye risiti ndicho utakacho kikuta kwenye bank statement...

Simply, hela haitatoka kwenye ac yako...

Na kama ukikuta kwenye ac wamekata hiyo pesa, na risit + statement zinasema umetoa 50,000/= basi waweza claim pesa yako.

Hapo itakuwa imekula kwao....
 
Imekula kwako kwa sababu, itatoka pesa zaidi na risiti pia ikionesha kiwango tofauti na halisi kilichotoka, sawa. Kitakachofuata wakitulizana lazima wagundue hasara hiyo imesababishwa na nini. Wakishagundua, wanaweza kukutaarifu wakikutaka urejeshe. Ama wakiona haujali, basi wataweka limtego la simba kwenye acct yako, ili kila pesa inayoingia kwenye hiyo acct, wanaipurua hadi kiwango husika ulichochota kitimie.
Wakati huo wewe ulishakula bata sana, tena bila malengo. Hauoni kuwa itakula kwako?
 
Hivi nikienda kwenye mashine ya kutolea hela A.T.M pale nikaingiza kadi yangu na nikatoa 50,000. Wakati nimeandika elfu hamsini ikatoka laki tano na risiti ikatoka kuwa nimetoa elfu 50. Hapa swali ni je?? Hiyo hela ilozidi itakuwa imetoka kwenye acount yangu??

Msaada wakuu hapo napatwa na mkanganyiko!!
hatarii kweli ulieNda kuimba? kama.ATM UMEINGZA KWENYE ACCOUNT YAKO BASI HELA IMETOKA KWAKO MKUU
 
Hakuna kitu Kama hicho uandike 50,000 halafu itoke laki 5 na list ioneshe elfu hamsini hakuna hata kidogo,umeandika status hii kujifurahisha tu
 
Hivi nikienda kwenye mashine ya kutolea hela A.T.M pale nikaingiza kadi yangu na nikatoa 50,000. Wakati nimeandika elfu hamsini ikatoka laki tano na risiti ikatoka kuwa nimetoa elfu 50. Hapa swali ni je?? Hiyo hela ilozidi itakuwa imetoka kwenye acount yangu??

Msaada wakuu hapo napatwa na mkanganyiko!!
Usihof mkuu hapo imekula kwao Bank coz kinachojulikana ni kilichopo kwenye risit na ndio kinachoandikwa kweny Bank statement, sema kwA sababu wabongo tumezoea wizi unaweza claims kwamba hujachukua kumbe umechikua, kuwa muaminifu mkuu hutapungukiwa
 
Hivi nikienda kwenye mashine ya kutolea hela A.T.M pale nikaingiza kadi yangu na nikatoa 50,000. Wakati nimeandika elfu hamsini ikatoka laki tano na risiti ikatoka kuwa nimetoa elfu 50. Hapa swali ni je?? Hiyo hela ilozidi itakuwa imetoka kwenye acount yangu??

Msaada wakuu hapo napatwa na mkanganyiko!!

Inatokea sometime system ina-misbehave ila tukifanya reconciliation tunagundua kwani kila kitu kinarekodiwa mpaka idadi ya notes ulizopata baada ya kutoa pia details zote yani acc number na namba ya kadi kwa hiyo lazima tutajua tu na tunakata kwenye acc yako, kama hakuna salio tutavizia tu.

Mara nyingine wengine hupunjwa mfano mtu anaomba laki inatoka elfu themanini nae anarudishiwa ishirini yake baada ya reconciliation. So hela ya bank haipotei mkuu labda ukimbie na account usitumie tena
 
Hakuna kitu Kama hicho uandike 50,000 halafu itoke laki 5 na list ioneshe elfu hamsini hakuna hata kidogo,umeandika status hii kujifurahisha tu
Hili huwa linatokea huku mwaka mpya ATM Ilikuw inatoa hela hata kama acc ilikufa kitambo ukichomeka tu kad unatoa mpunga tena tatzo likikuw ATM za mji mzima watu hawakula full kuzunguka usiku kama wanadaka senene
 
Sijawahi sikia hiyo, na sidhani kama iliwahi tokea, au kama itatokea.

Ila mathalani ya maneno kama ikitokea, ujue ni Hitilafu za kiufundi.

Na watakuja gundua tu.

Na ujiandae kuilipa, watakuja kufidia tu.

Wenyewe wanajua namna ya kufidia
 
Mim nilikua natumia crdb nikaenda kutoa pesa exim ikatoka,kesho nikaenda crdb nikatoa kiasi chote.baada ya week nikaingiziwa pesa kidogo crdb.nikaona niangalie kwa simbanking, nikakuta mzigo umejaa kwa kile kiasi nilichotoa exim bank.nikaona ngoja nijaribu kuitoa.ikatoka yoote.basi maisha yakaendelea ikapita miez2 bwana nilikua safari nafunga mzigo nirudi home nakuta account wamelamba ile pesa yote!!!
Nikabaki najichekea mwenyewe.kwa io ndugu zangu bank hawapotezi hela labda ukimbie au.ukufe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom