Recent content by Ndunamputa

  1. Ndunamputa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Jamani mm nimelima vitunguu mkoani mbeya katika kijiji cha igawa natarajia kuvuna jumatatu tarehe 18/7/2016 tatizo ni bei imeshuka mno. Gunia huku watu wananunua kwa shilingi elfu sitini tu (60) je, wapi nitapata soko zuri naombeni ushauri wana jamvi
  2. Ndunamputa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Jamani mm nimelima vitunguu mkoani mbeya katika kijiji cha igawa natarajia kuvuna jumatatu tarehe 18/7/2016 tatizo ni bei imeshuka mno. Gunia huku watu wananunua kwa shilingi elfu sitini tu (60) je, wapi nitapata soko zuri naombeni ushauri wana jamvi
  3. Ndunamputa

    John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    Yaani maccm mnachekesha kweli, mnajitekenya na kucheka wenyewe.....
  4. Ndunamputa

    CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Hoya aliyetumiwa anitumie na mm maana naona jamaa amezidiwa kuwatumia watu hiyo video. 0713451238
  5. Ndunamputa

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Taarifa niliyoipata kwa mmoja wa member wa ndani kabisa ktk ccm anasema kesho kuna vijana wamewakodi vijana kufanya fujo buguruni wakiwa na sare za chama cha c.u.f ili ionekane hawakubaliani naye, pia ionekane wako upande wa lipumba
  6. Ndunamputa

    Gharama za Kuweka Gypsum na Tiles, Nyumba ya 14x11 Mtrs - Dar

    Majibu ni kama mlivyoelekeza ninyi nyote wawili hapo juu,gharama zitaongezwa na ubora wa tiles maana sio tiles zote zinauzwa 29000 kwa box. Kuna tiles za China, Italy, south africa , Brazil n.k
  7. Ndunamputa

    Gharama za Kuweka Gypsum na Tiles, Nyumba ya 14x11 Mtrs - Dar

    Mimi ni fundi mzoefu tu na kazi zangu ni za uhakika nicheki kwenye 0755949646, 0713571271 tutachonga vizuri zaidi...
  8. Ndunamputa

    Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Kazi yoyote unayoifanya kwa influence ya pesa haiwezi kudumu endapo pesa itaondoshwa machoni pako. ACT ni chama cha kilaghai....
  9. Ndunamputa

    Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

    Wewe mleta mada ndio unamsakama padre kwa maneno ya uzushi na chuki.... Unatoa mifano mfu ya muhimbili bila hata woga. Unaifahamu kweli hiyo muhimbili au umehadithiwa, muhimbili kweli ina hadi ya kuitwa hospitali ya taifa wakati wakina mama wanalala chini kwny wodi ya wazazi?
  10. Ndunamputa

    IFM - Huu ni Uzembe

    Wewe DASA naona utakuwa umevimbiwa sasa unatafuta pa kupunguza gesi iliyojaa tumboni mwako, hebu tutolee ushuzi hapa ...
  11. Ndunamputa

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Mifuko yotee tz haina umaana ila basi tu ssheria ya ajira inatubana. Mifuko yote m.a.v.i tu.....
  12. Ndunamputa

    CCM yapukutika, kada wake mbunifu na maarufu ahamia ACT-Wazalendo

    Hata uchizi huwa una mazoezi yake.... Jamaa yupo kwenye mazoezi ya uchizi ACT
  13. Ndunamputa

    Ulishawahi kufikiria kuwa wakala wa mambo ya mikopo?

    Safi sana, mi nataka Mkopo pia
  14. Ndunamputa

    Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    Kweli kabisa, mi mwenyewe sijahuzunika hata kidogo na kifo cha Komba
  15. Ndunamputa

    Tigopesa makao makuu acheni kushirikiana na matapeli kuwaibia mawakala wenu

    Pole sana mkuu, mi mwenyewe ni muhanga wa matukio kama hayo, inatia uchungu sana kuona tigo pesa hawana ushirikiano wa kutosha kwa mawakala wao. Ukiibiwa unabaki peke yako na Mungu wako. Mimi niliibiwa laki mne kwa njia hozohizo za ujanj:flame::flame:
Back
Top Bottom