Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Mkuu achana na hiyo mijizi ya mitihani ...Ovyo kweli ...
Ni kweli mkuu
Mkuu achana na hiyo mijizi ya mitihani ...Ovyo kweli ...
Imekugusa sio?
Nilikuwa mahali, kwa bahati mbaya kuna wanafunzi wa IFM walikuwa wanaongea nikawa nawasikia. Inaonekana wapo kwenye mitihani kwa sasa. Lakini walikuwa wanaongea jinsi usimamizi wa mitihani ulivyokuwa wa kizembe hapo IFM.
Inaonekana wanafanyia mtihani kwenye vyumba vyenye computer, hao wasimazi kwa vile hawapo serious na kazi yao, wanafunzi wanaweka notes zao zote kwenye hizo computer na wanawasha hizo computer wakati wa mtihani na kucopy majibu.
Sasa inawezekana hao walimu labda wameongwa na baadhi ya wanafunzi ili wafanye hivyo. Najiuliza mambo mawili, kwanza kwanini mtihani ufanyike kwenye chumba cha computer wakati mtihani sio wa computer, pili wakati hawa wanafunzi wanajiachia kuwasha hizo computer na kucopy majibu hao walimu wanakuwa wamekaa wapi!!.
Tafadhali IFM mrekebishe hili haraka na msituletee makanyaboya huku mitaani.
Sio imenigusa ila mleta mada naona anayake.. Mimi nilisoma pale.. Pia hapa nilipo nipo na Director of computer science, ninemuonyesha huo uzi kusema hakuna issue kama hiyo, na kweli hata mimi nilishawahi kufanyia kwenye computer lab ila computer zote zinabe disconnected na umeme na hata hata ufanyeje hawezi kuziwasha, sasa kusikia maneno mtaani si vyema kuzileta hapa fanya uchunguzi
Siku zote nilikuwa nashangaa, vuvuzela kama mwiuguluu alipataje first class wakati hata darasa 7 tuu alifeli zaidi ya mara 3 adi akadandia jina la mtu mwingine, sasa nimepata jibu!
Mkuu taja na ukitaja weka na picha au video.. Acha wivu wa kijinga kwanza ulimea wapi wewe.. Na uache umbea wako hapa ulimuona akiibia au ulikuwepo? Acha umbea wa kike na mipasho taja na weka ushahidiIyo unazungumzia scenario ya kutumia compyuta room kujifunzia ... mimi nazungumzia madudu yanayoendelea kwenye hivyo vyuo hasa CBE na IFM unataka kusema suala lakuibia halipo? naelewa inaweza kuwa vyuo vyote lakini huko is too much tena kwa msaada wa mwalim wa somo..mkibisha naweka nondo hapa... nitataja na majina.. huu uzi umekuja muda muafaka...
Nilikuwa mahali, kwa bahati mbaya kuna wanafunzi wa IFM walikuwa wanaongea nikawa nawasikia. Inaonekana wapo kwenye mitihani kwa sasa. Lakini walikuwa wanaongea jinsi usimamizi wa mitihani ulivyokuwa wa kizembe hapo IFM.
Inaonekana wanafanyia mtihani kwenye vyumba vyenye computer, hao wasimazi kwa vile hawapo serious na kazi yao, wanafunzi wanaweka notes zao zote kwenye hizo computer na wanawasha hizo computer wakati wa mtihani na kucopy majibu.
Sasa inawezekana hao walimu labda wameongwa na baadhi ya wanafunzi ili wafanye hivyo. Najiuliza mambo mawili, kwanza kwanini mtihani ufanyike kwenye chumba cha computer wakati mtihani sio wa computer, pili wakati hawa wanafunzi wanajiachia kuwasha hizo computer na kucopy majibu hao walimu wanakuwa wamekaa wapi!!.
Tafadhali IFM mrekebishe hili haraka na msituletee makanyaboya huku mitaani.
Mkuu taja na ukitaja weka na picha au video.. Acha wivu wa kijinga kwanza ulimea wapi wewe.. Na uache umbea wako hapa ulimuona akiibia au ulikuwepo? Acha umbea wa kike na mipasho taja na weka ushahidi
Njooni kwenye interview muone watoto walivyo maboya! Hawajui hata hesabu za kujumlisha lkn ndo wamemalizia bcom sasaivi. Elimu yetu ni Majanga sana aisee.
Siku hizi kazi za wanavyuo ni kuchanga pesa na kuunga mkono wagombea urais wanaonunua uongozi km lowasa aka mamvi