issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Wadau mbona kasi ya ACT-Wazalendo iliyoanzanayo kama imepungua vile.Humu zilikuwa zimetawala thread za ACT-Wazalendo lakini kwa sasa unaweza kuta kwa siku thread ikawa moja tu na kama zikizidi zinafika nne tu.
Tafadhari kunani huko jamani wakina MWALIMU KAIJAGE na wenzako vipi tena?
Tafadhari kunani huko jamani wakina MWALIMU KAIJAGE na wenzako vipi tena?