Ni wazi nayosoma hapa yameandikwa na kijana wa zamani haswa. Gen Z kutumia alama kama mkato, nukta n.k ni jambo gumu sana kwao.
Tatizo letu ni mfumo mbovu na muendelezo wa utamaduni wa hovyo wa kuogopa kuulizana na kuchukuliana hatua. Hali ambayo imechangia hata watu wenye nia ya kweli...
Hawa jamaa wa ajabu sana mkuu. Huyu dogo sekunde tu anabwabwaja vyote. Nina mwanangu alikuwa mkaidi kinoma. Mzee wake kuna siku alitumia ule waya ya pasi kumpa somo la milele.
Baada ya hapo dogo aliacha na ufala wake kwa asilimia zaidi ya 90. Mzee alipiga siku nzima. Alikuwa anampiga huku...
Broh, waya zipo za aina tofauti tofauti. Kwa kuzingatia darasa analosoma chukua ule mwembamba wa kopa. Dk 5 tu anamtaja muhusika na kukupeleka wanapofanyia mchezo.
Kizazi cha sasa kina malezi mazuri sana,
Nimelipitia andiko vyema. Na bado naendelea kulipitia. Nimehusisha pia wakati wa andiko na rais aliekuja kipindi cha baada ya andiko.
Ni kweli baada ya yule '' nilii'' aliefuata alikuwa na nguvu kubwa, ila nilitaka kujua kwa wakati husika uliona katika utofauti uliotokea (kwamba angetokea...
Wananchi eneo lao ni kubwa zaidi ya wahuni. Sema tu hawajaamua kwenda panapostahili. Barabara ya BARABARA ROAD ndio eneo la wananchi. Ila tupo zetu MTANDAONI ROAD tunakunywa alkasusi mujaaraaabuu
Nikiwaambia kuwa miaka yangu ya mbeleni nataka nisomee ulozi kwa kiwango cha dunia mnashangaa. Ningekuwa fundi ningemshamalizana na hao waendeshaji wa kesi siku nyingi sana.
Binadamu wanavyozidi kunikera nafikiria kuwa mshirikina ili nisiwe napata maumivu ya nafsi pindi wajingawajinga wakisumbua. Kama yule mkuu wa shirikisho la futibumbu ningekuwa mshirikina ningekuwa namtumia nyuki kila atakapoongelea masuala ya mpira au kila atakapokaribia mazingira ya ofisi.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.