Utongozaji wako ni wa kizamani sana. Huyo mahondaw sijui makonda unayemtaka sie tunapiga show kama kawa, kinachoongea pochi...inaonekana huna hela na umewekeza sana kwenye kuongea na kujipendekeza...mwanaume hajipendekezi, ni either umkamue mtoto kwa uwezo wako au wengine wakamue. cc mahondaw
Habari wakuu,
Mimi ni Mwanamuziki na ni Mwalimu wa muziki. Uzoefu wangu ni tangu nikiwa Elimu ya Msingi ambapo nilikuwa Muimbaji, Mtunzi na Mwalimu wa Kwaya mbalimbali jijini Mbeya, na kisha kutumikia Live Bands pamoja na kufundisha kwenye Music Academy mbalimbali.
Ninapiga Gitaa la rhythm na...
Ulinzi ni haki ya kila mtu na kila taasisi. Hivyo vikundi vya ulinzi havina tofauti na zile Kampuni za ulinzi ambapo unaweza kuwakodi wakulindr hadi bafuni. Napinga CUF kuvamiwa na hujuma zinazoendelea dhidi yake.
Waitane tu, ni haki yao kukutana na kurekebisha mstakabali wa Chama. Nchi hii ni huru. Ila hawapaswi kutumia mwanya wa Chama kuunda serikali kutekeleza njama zao haramu za kukandamiza usawa kwa wapinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.