Ndugu Mheshimiwa
Member
- Apr 23, 2017
- 10
- 77
Habari wakuu,
Mimi ni Mwanamuziki na ni Mwalimu wa muziki. Uzoefu wangu ni tangu nikiwa Elimu ya Msingi ambapo nilikuwa Muimbaji, Mtunzi na Mwalimu wa Kwaya mbalimbali jijini Mbeya, na kisha kutumikia Live Bands pamoja na kufundisha kwenye Music Academy mbalimbali.
Ninapiga Gitaa la rhythm na besi, Kinanda na drum (drum ni mitindo ya taratibu tu). Kitengo nilichobobea ni kwenye Uimbaji, Sauti na Utunzi.
Ninaomba kazi kwenye Band, shule ya Muziki au Studio. Nina Diploma ya Muziki kutoka nje ya Nchi.
Kwa mwajiri au mwenye nia ya kunisaidia basi aje PM kwa mazungumzo zaidi. ASANTENI.