johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,092
- 164,418
Niliwahi kujiuliza endapo wakati wa mfumo wa chama kimoja je CCM ilikuwa na green guards? Kama walikuwepo kazi yao ilikuwa ni nini?
Sikuwahi kupata jibu lakini tukio la jana la kuvamiwa mkutano wa Cuf limenifanya niyatafakari tena yale maswali yangu.Ikumbukwe kuwa waasisi wa vyama vingi vya siasa wametoka CCM na wengine walikuwa viongozi, na ndio hao walioasisi Red brigades, blue guards nk huko walikoenda.
Sasa nawauliza ninyi ma Great Thinker, tukio la jana la uvamizi wa Cuf haliwezi kuwa ni moja ya majukumu ya kawaida ya kikundi cha ulinzi cha chama?Na je, kiongozi aliyeshauri vikundi hivi vya ulinzi vifutwe sababu havina tija na vinaweza kutuzalishia ugaidi alikuwa sahihi au la?
Karibu kwa mjadala.